Kuna vitu si vya kukabidhi Mwanamke

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Hello wanaume wenzangu kokote mliko. Nawaasa sana kokote mliko

Kama una familia ama hauna unaweza kuwa nayo after some time Kuna vitu katika haya maisha si vya kuweka katika miliki ya mwanamke. Utakuja kulia vibaya sana ama kujiua kama mstaafu wa Polisi kule Moshi

Naorodhesha vichache!
  • Hati zote Muhimu
  • Hati ya nyumba
  • Hati ya kiwanja
  • Gari nk.
Mali yoyote utakayonunua weka jina lako. Mwanamke hata akiishi na wewe miaka 40 mkazaa mkalea mkapata wajukuu, never trust her! Mwenyezi Mungu aliposema tuishi nao kwa Akili, yawezekana kuna Jambo lilimkuta zito sana😅😅 akaamua kutupa alert.

Naishia hapa


 
Acha nicheke hayo ni mawazo duni kwa kudhani kila mwanaume anaweza kumiliki ulivyotaja hapo juu na mwanamke hawezi. Nikwambie kitu si kila mwanamke/mke anahitaji kumilikishwa vitu kutoka kwa mume/mwanamume
 
Kuishi nao kwa akili Haimaanisha akili hizo ulizo zisemea wewe. Alimanisha akili za kuwatawala na kuwaongoza.

Kuficha hati sio solution maana ata ww mwanaume unaweza zitumia vibaya na kuleta majanga kwenye familia yako.

NB: Sijasema muwape hati
 
Suluhisho la kweli na la kudumu ni kuhakikisha huna nyumba, kiwanja, gari wala kadi za benki in fact hata nguo nunua kanzu ili ukifa arithi apeleke kwa fundi yawe magauni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…