Kiukweli mimi nimekuwa mtu wa kuchukizwa na vitu vidogo vidogo sana kitu kama like za
min -me na
raraa reree zinanikera sana sijui kwanini unaweza kufungua kwenye timeline yako ya jamii forum kuna timeline 12 zote na ubaya zote ni za hao watu nakerekwa sana aisee π¬π¬π¬π¬