AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Mf kuna stori niliadisiwaga na mzee mmoja mjeshi mstaafu kua TANZANIA ilishawai kua namba moja kwa ujasusi na upelelezi hapa DUNIANI tena kupitia ile mbinu pendwa ya kujifanya kichaa (UKAKASI WANGU UPO KWENYE KUA NAMBA MOJA DUNIANI)