Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Naunga mkono
 
Honga mkuu
 
Kwa kweli sina Cha kuhonga zaidi ya simu.
Yaan Simu nishahonga nyingi Sana.
 

Ni chura tu na uhakika wa kula kinyeo ndivyo vinavonifanya nitoe hela na si chengine chochote
 
Tawile[emoji419] [emoji16][emoji16]
 
Dah, zamani nilikuwa mbishi kama wewe! Nilihisi kuhonga ni ujinga....ila sijui imekuaje kuaje....siku hizi nahonga balaa...yaani balaa!! Demu akila hela yangu halafu akashukuru huwa kuna raha fulani naisikia dah sijui nimerogwa[emoji1][emoji1][emoji119] hizi Samsung A series nimezihonga mpaka basi
 
Nadhani ni tofauti za viwango kimaisha tu boss, kuna watu hiyo 2mil ni pesa ya kawaida hata akimnunulia manzi simu na akamsaliti au kumuacha hawazi tena kuhusu hiyo simu wala nini( Nina ushahidi).
 
Mkuu ukipenda unahonga wala huoni shida. Kipindi nafukuzia huyu manka nilitumia pesa mpaka ikanizoea uzuri ilikuwepo ya kututosha ananikumbushaga ile jeuri niliyokuwa nayo nimerithi kwa mzee wangu[emoji23][emoji23]
 
Sihongi kitu chochote ambacho demu atabaki nacho, nalipa bills za bia na vitu kama hivyo.... siku tumemalizana huna kitu changu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…