Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Simu honga ila angalizo: usije tegemea atakuheshimu / atakutii / atakupenda sana kwa hilo. Fanya lililo katika uwezo wako, expect nothing in return. Utaumia ukitegemea umcontrol kisa we ndio umemnunulia simu, itabackfire vibaya mno.

Fanya kwa vile unapenda na unaweza afu jishaulishe. Tumia disposable income.

Nishanunua simu 4 kwa hawa viumbe na nikapata mapokeo tofauti tofauti.
 
Mie nilishanunulia jitu simu na kulisajiria line halafu likaja kuwa linaniblock linaenda kutombwa halafu likimaliza linaniunblock hii midemu ya siku hizi hasara tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
wee! ongea taratibu wasikusikie raha ya mwnaume kuhonga ndugu.
unaweza kuwa sahihi huwezi kuonga simu kwakuwa watu watatumia simu hiyohiyo kukugongea basi honga ata kagari mtanunua wote mafuta.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hamjamuelewa. Anachoongelea sio thamani ya simu. Anaweza kuhonga hata sh milioni 2 pesa taslimu lakini sio kumnunulia mwanamke simu ya laki 2. Yaani anahisi atakuwa anamrahisishia mawasiliano na wanaume wengine. Inauma simu umenunua wewe halafu hiyo hiyo inatumika kuwasilianana na wanaume wengine.
Mimi nimemuelewa kitambo Sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Utajua ww mkuu.
Mimi nshawai kuhonga simu tena Tecno Camon 12.
Demu alikua ananipa hadi Tigo.
Sema nlikuja kuachana nae.
Kaka una mawasiliano ya huyo binti?
 
Back
Top Bottom