Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Kuna vitu vya kuhonga ila bado sijawaza kuja kuhonga simu

Miaka kama 3 iliyopita nilikua abroad kuna malaya akaomba nikirudi nimnunulie s9 plus,kipindi iko ilikua inagonga kwenye usd 600,kiroho safi nikakubali,ila siku naenda kununua hiyo simu wakati niko dukani machale yakanicheza,hilo duka lina upande wanauza used na refurbished phones,nikaenda huko nikamchukulia j5 used kwa usd 90,siku nampa nikamsomesha kiume akaelewa,nov last year akaniblock pumbavu kwa simu niliynunua kwa pesa yangu
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Hamjamuelewa. Anachoongelea sio thamani ya simu. Anaweza kuhonga hata sh milioni 2 pesa taslimu lakini sio kumnunulia mwanamke simu ya laki 2. Yaani anahisi atakuwa anamrahisishia mawasiliano na wanaume wengine. Inauma simu umenunua wewe halafu hiyo hiyo inatumika kuwasilianana na wanaume wengine.
Maelezo kuntu kabsa
 
Jimbo zima linajua nilisivyo na utani. Basi usisahau kunifanyia connection ili nikichukua jimbo utapata ujira wako. Hakuna haja ya kumtafuta steve Nyerere wakati Upo
We unaamini ilo jimbo lipo huru??
Kwa uzuri ule hakosi sponsor ni mwendo wa toa kitu weka kitu.....
 
We unaamini ilo jimbo lipo huru??
Kwa uzuri ule hakosi sponsor ni mwendo wa toa kitu weka kitu.....
Ukitaka kupata mwanamke asiye na sponsor, K utaziona katika movies. Kawaida yetu, kama unamtaka mwanamke aliyesimama kama mahondaw kazi yako ni kutupa ndoana na ukakaba siku sponsor wakiachana unaziba nafasi. Usijihangaishe ati umtenganishe na sponsor wake, utaumia bure kazi ni kuwa na subra. Muulize mwenyewe nilianza lini kumchombeza kabla ya kumpata Smart911 na hata akiwa naye naendelea mdogo mdogo. Hata leo kama ana sponsor sikati tamaa navuta subra ipo siku yes! Upo hapo
 
Una kwalifikeshens za kumpa moyo(kuuguza) mgonjwa mahututi
 
Back
Top Bottom