Kuna viumbe Mungu kavibariki

Kuna viumbe Mungu kavibariki

Mbona anaonekana kala chumvi nyingi tu!!..hizo nyonyo unadhani zake?..huo uso umekatwa tayari na ngozi ishavutwa hiyo...
 
Mbona anaonekana kala chumvi nyingi tu!!..hizo nyonyo unadhani zake?..huo uso umekatwa tayari na ngozi ishavutwa hiyo...

Profesa umechelewa leo....nilikuwa nangoja tathmini zako...
 
C ndo hapo? Halafu hao huko kukichonga kwingi; markups za kutosha na ma plastc surgery

tutoe credits kidogo mama wa watu yupo vizuri......kuna watu na hela zao na make ups zote bado wanafanana na mamba!
 
Huyo ni 48 yrs kasoro miezi miwili (naweka record sawa mkuu), mbona hapa Tanzania wapo au wewe wa kwako keshaanza kuonekana ana 58 yrs wakati ana 25yrs, wewe ndio mmemfanya achuje na imekula kwako na huyo ndio chaguo lako sijui utafanyaje sasa

kama wema wa domo
 
essencecom-gabrielle-union-lala-anthony-regina-hall-taraji-p-henson-and-meagan-good_610x397_45.jpg


 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom