Ole wako benteke apite hapa halafu amuone! Jiandae kuombwa contact zake kwani jamaa keshachoka kuvaa 'G-string'!
hehehhehe... muuza ubuyu huyu akiniambia tu "mambo benteke" tayari nshakojoa...hehehhe. Ah. kuna wanawake jamani.
Kumuona mwanaume mwenzako anadhalilika sio swala la kucheka
Sasa hizo baraka zi wapi???
Khaaa si alisema mwenyewe?
Ibua kipaji alafu kifanye kuwa rafiki na matunzo ya kueleweka mbona kitakuwa kama huyo tudah Jodoki mi bado nipo nipo.....saaaana tu...
Mwenye roho ndogo ana commit suicideUnaibua kipaji leo ,kesho kinakuwa vizuri wanakuja kuku"Gwijimia"....khaaa unajua inaumaje aisee??????