Kuna viumbe sayari zingine!!!?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Nimekuwa nikifikiria kila wakati na kutaka kujua kama kuna viumbe kwenye sayari zingine. Juzi tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale. Jamaa mmoja akaanza kutuelezea kuwa kunaviumbe NASA wamewaona na wakabahatika kumkamata mmoja. Viumbe hao walitoka sehemu tofauti na dunia. Na kulikuwa name tishio la viumbe hao kuangamiza dunia.

Wanajamvi mwenye taarifa kamili tafadhari. Nimegoogle sijapata majibu.
 
Chungulia NASA kule mm ntard baadae
 
Hahaha! NASA hawajakamata kiumbe chochote kutoka sayari nyingine, wala hawajakiona hata kimoja, kwa lugha nyingine umedanganywa mchana kweupeeeee... Hahaha! Kwenye sayari nyingine kuna viumbe ndio ila sio viumbe hai, hapa naongelea kuna vitu kama mawe, zipo nyingine zinasemekana kua na maji, kuna sayari nyingine ni almasi peke yake, madini mbalimbali kama chuma yamejaa mars, nyingine zimetengenezwa kwa gases nzito, na kadhalika, ila kiumbe hai hakijapatikana HATA KIMOJA... Anayekwambia vingine anataka kunogesha story tu.. ila ulimwengu ni mkubwa sana, sana sana ukisema uumalize utapanda rocket miaka tilioni unasafiri na bado hujafika hata nusu, kwa ukubwa huu labda siku moja tutabahatisha viumbe hai.. japo pia speed ya rocket zetu ni 11km/s, hapa hadi mars tu karibu kabisa tunatumia miezi sita kusafiri kufika... Sayari yenye maji iliyoko mbali itatuchukua miaka milioni kadhaa kwa speed hiyo hilo nalo tatizo... Tusubiri kuna technology mpya inaitwa warp drive endapo itawezekana basi tutaweza kwenda kwa sekunde tu.... Till then hakuna kitu kama uhai sehemu nyingine..
 
Viumbe sayari nyingine??!! Tena usithubutu kujidanganya kwamba kuna viumbe hai pengine tofauti na hapa duniani.
Kiufupi NASA wameona kila siku hawana jipya,kwa hiyo wanatafuta uongo usio na mbele wala nyuma kudanganya binadamu.
Kama biblia au vitabu vingine vya dini havisemi hivyo kwanini ujisumbue na vitu ambavyo havikuhusu?.
Na hawa NASA nao ni nini wanatafuta kama sio kumchokoza MUNGU?
Haya wakisha jua kwamba kuna viumbe wengine lets say kwenye jupiter, watafanya nini kama si uchokozi tu??
Si unaona jinsi wamekosa akili ?
So my friend. Dont believe hear says. There is much lies more than you expected.
And if you believe a lie, then you gonna be damned by that lie.
 
kuna vijamaa kutoka sayari isiyojulikana, vinaitwa UFO!.
 
Ahsante sana. Kwa wale walionipa indications. Kuhusu UFO name Alien. Nimepitia kwenye mitandao na nimegundua maisha so duniani tu.

Ninawashauri wale wenye kukomenti bila kujua na kujifanya wanajua bila evidence na kudhani wako sahihi si vizuri.
 
kiukweli viumbe hao wapo na tanzania wapo watatu
maandiko yanasema dunia itakua chini ya utawala wa shetani kabla ya kukombolewa na mungu yesu mungu wa wote
 

Hizo habari kuwa kuna sayari yenye viumbe hai mbona imekuwepo siku nyingi? Ila hao viumbe ni much more advanced kuliko binadamu na kwa hiyo NASA hawana uwezo wa kuwakamata. Hao viumbe ndio wenye uwezo wa kuwafanyia binadamu chochote kile. Kwa bahati mbaya Wamarekani na wengine tunaochukulia wameendelea sana hata siku moja hawakubali hilo kwa kuwa wanadhani watadharaulika. Ujue ile ndege ya Malaysia iliyopotea sio chombo cha kwanza katika historia kutoonekana milele. Inasemekana hao jamaa kutoka hiyo sayari ndio wanaovivuta vyombo vya duniani na kuvipeleka kwao. Ni katika upelelezi na research ndio wanakuja kwenye sayari yetu. Bahati mbaya they are more advanced na hawaruhusu sisi kuwachunguza kama wafanyavyo wao. Ukumbuke inasemekana ile ndege ya Malaysia ilizimwa ghafla chombo cha mawasiliano ndio maana mara waseme ilitekwa na vitu kama hivyo. Basi ilitekwa na "watu" wenye maarifa kuliko the most advanced binadamu.
 
Meela ahsante
 
kiukweli viumbe hao wapo na tanzania wapo watatu
maandiko yanasema dunia itakua chini ya utawala wa shetani kabla ya kukombolewa na mungu yesu mungu wa wote

Jaribu kufikiria zaidi ya hapo.
 

mmejuaje kama wako more advanced ikiwa hamuwezi kuwachunguza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…