Kuna viumbe sayari zingine!!!?


Habari za kufikirika na tekinolojia itakapokua zitakuwa habari za kufikika. Uwezo wa zana zetu hauwezi kuona detail katika galax yetu kutokana na umbali ambao mwanga tu huchukua miaka mingi kufika. Uwezekana upo ila tekinolojia tuliyonayo haina uwezo wa kufika na kubaini huko. Siri ya Mungu atakapoamua kutufunulia ndipo tutajua. Kwa sasa kaweka ukingo ambao hatuwezi kuuvuka.

Kubisha hakuna maana sana maana yake inaweza kudhoofisha juhudi za utafiti. Mbona hata dunia waliosema iko duara waliambiwa wazushi na wakauawa lakinileo hii hakuna ubishi?
 
Mungu mkubwa jamani hapa duniani si sisi tu tutambue kuna ulimwengu mwingine na hata viumbe vingine
 
Mmmmh kwan Yesu Mungu! Na huyu aliemtaja ktk yohana 20.17 ambaye ndio Mungu wa YESU mwenyewe atakua mungu wa vipi?
kiukweli viumbe hao wapo na tanzania wapo watatu
maandiko yanasema dunia itakua chini ya utawala wa shetani kabla ya kukombolewa na mungu yesu mungu wa wote
 

i never heard about that!
 


Ki ukweli mi binafsi nilishasikia kuwa kwenye sayari ya mars kuna viumbe hai ambao hawatembei kama binadamu japo wana miguu, kwa sababu kule nguvu ya uvutano iko tofauti na huku duniani so wanatembea kwa kuruka ruka kwa sababu ya nguvu ya mvutano wa huko kwao.
 
We hujui nini sasa?
Mwamerika kila kukicha anapiga ruti kwenda mwezini
 
hakuna ukweli wowote; ni kama stor za samaki mtu (nguva) na uongo wa nasa kwenda ktk mwezini na apollo yao
 

Hakuna aliyebishana, kauliza swali jibu nililompa ni kua hakuna kiumbe chochote kilichopatikana, na ndio ukweli huo kabda kama una ukweli wako mwingine ambao inabidi ulete proof..

Afu unavosema vingine Mungu kafunika tusione, we unajua ni vipi hivo? nahisi walisema maneno hayohayo kabla ndege haijatengenezwa, ati Mungu hakuujba binadamu aweze kufika mawinguni.. sayansi inavokua tutafika tu sayari nyingine, tukimaster warp drive hata galaxy nyingine tutafika tena ndani ya muda mfupi, hakuna kitu ka Mungu kafunga, tusipojaribu hatuwezi kujua mwisho kuna nini, hadi tufike sehemu tuseme sasa tume-master universe na hapo hautakua mwisho, ndio kwanza mwanzo...
 

Umeongea kitu kile kile ambacho nimekiongelea ila kwa lugha nyingine mtazamo ukiwa mmoja. Kufikia mafanikio fulani si shauri ya kukazania tu kwa akili ya kibinadamu, kwa wenye imani tunajua Mungu hutufunulia hayo, na ipo siku tutafunuliwa kuyaona ya mbali ambapo uwezekano wa kufika ukawa mgumu ndio maana ya ukingo mkubwa aliotuwekea Mungu. Wanaposema sayari fulani ina uwezekano wa kuwa na mani ni shauri ya kusoma dalili zinazozunguka sayari na wala ssi uhalisi kwa vile detail zake kupata ni ngumu mno kwa vyombo vyetu vya utafiti tokana na umbali uliopo.
 
Ahsante sana. Kwa wale walionipa indications. Kuhusu UFO name Alien. Nimepitia kwenye mitandao na nimegundua maisha so duniani tu.

Ninawashauri wale wenye kukomenti bila kujua na kujifanya wanajua bila evidence na kudhani wako sahihi si vizuri.

Exactly
maisha sio duniani tu hata mbinguni naamini yapo
 
viumbe ninaowafahamu mie wengi wao wako kwenye bahari yaani chini kule majini kuna viumbe na kuna vitu vyenye uhai ila sijajua vizuri kwenye sayari zingine ila watu wanasema kwenye sayari mars kuna viumbe wa ajabu kule wanaishi sijui ni kweli au la

 
Swali la kizushi tu. Hivi mbinguni ni wapi?
 

Hukulewa swali au? Almasi,mawe, chuma... ni viumbe?
 
Hukulewa swali au? Almasi,mawe, chuma... ni viumbe?
Hivi umejaribu kumaliza kusoma nlichoandika? alafu almasi mawe chuma etc viko classified kama non-living organisms, viumbe visivyo hai.. au huelewi maana ya neno kiumbe... wewe unahisi kiumbe ni kile tu chenye miguu na mikono basi umemaliza? alafu sentensi ya gu ya kwanza kabisa imemjibu swali lake nashangaa kwa nini ume-criticize nlichoandika...
 

Dah ndugu yangu sijui unajua unachokiandika. Umesema mawe ni viumbe halafu hapohapo NASA hawajakamata kiumbechochote. Lugha gongana.
 
Dah ndugu yangu sijui unajua unachokiandika. Umesema mawe ni viumbe halafu hapohapo NASA hawajakamata kiumbechochote. Lugha gongana.
nimesema hawajakamata viumbe hai mbona mtanzania unalazimisha ubishi huku hata mtoto mdogo angeelewa nlichoandika, watu ka wewe hua mnabisha ilimradi kubisha sijui kuprove ur selves to who.. sentensi yangu "kuna viumbe ila sio viumbe hai" afu nikampa mfano hukuielewa? sina muda wa kubishana na wewe tafuta mwingine mshamba kama wewe asiyeelewa
 

Hebu soma mstari wa kwanza wa comment ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…