Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

JamiiForums1999523532.jpg
 
Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana
Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi

Kwamba mtu mwenye lips [emoji182] nene ama nyembamba basi kuna kiungo kingine vinafanana copy right
Kwamba kama mtu ana vidole virefu vinene ama vyembamba basi kuna pahala ni same same

[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji23]kicheko ni pale ninapomuona mtu ana vidole vifupi sana kisha vyembamba wallah sipati picha pacha yake ikoje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Chunguza sana watu wasiopenda kuvaa open shoes na muda wote hataki hata mikono yake uone.

Between hizi ni assumptions tu za wanadamu usitishike ukaanza kukosa uhuru na viungo vyako, na wewe acha ufukunyuzi na kuanza kukodolea watu mimacho

NB: kuna watu huchagua wenza kutokana na mwonekano wa viungo hasa midomo na vidole
Km sielewi,km naelewa hivi!!!!.
 
Mkuu mshana jr,
Assumption za namna hii zisizo rasmi ndizo zinazo aminiwa na kupendwa na kundi kubwa la watu, si wasomi wala wasio wasomi,

Lakini kuna watoto wazuri jamani, yaani ukiwaona huwezi hata kukumbuka hizo assumption,
Mfano mimi nkionaga comment au avata ya mtoto rubii wa jf akili inakimbilia kwenye kufikiria sura yake jinsi ilivyo nyororo uso wenye bashasha na umbo la kuvutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kha! Kha! khaaa!!.
 
View attachment 1161669
Kama kuna kitu i can ever imagine basi ni utamu alioupaki huyu mtoto katikati ya mapaja yake. I go nuts kila nikimuona not only that she's pretty but hisia kuwa anacho haswa nachokitafta sana kwa mwanamke as far as body appeal is concerned.

I cant deny the fact that i'm so envious to whoever the dude thats smashing on tha girls pretty round thing.

Kama kuna kitu nakihusudu basi its this faced looking kind of girl. That means im easily eye catched with them round chubby cheeked, tiny nose, bubble lips, sharp eyes all blended to give out that cute natural aspirated look [emoji7][emoji7][emoji7]!!!

Sijawahi kuwa real kama leo hadi najiogopa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...To all the girls wenye muonekano huo nawapenda kokote mlipo. Rest assured!
Not "catched" supposed to be "caught "

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Nimeangalia vidole vyangu vya mikononi naona hakuna kiungo chochote kinachofanana,ngoja nikirudi nyumbani niangalie vya miguuni ntaleta mrejesho...
 
Back
Top Bottom