kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Na hii kwa wanawake nafkir inaenda mbali zaid....hadi kwenye aina ya mavazi anayopendelea. Kuna watu wanapenda kuvaa modo au vinguo vya kubana na wengine wanapendelea kuvaa minguo mipana, ya kupwelepweta, yenye matambalatambala, ya ujiuji n.k
Hiyp pia inaenda sambamba na maungo yao. Na hata viwanda vya nguo washajua...nguo za wanawake wanaweka malembo hayo na wanaume nao wanawekewa malembo ya boksi au mshazali yenye kuwachora kama maumbile yao.
Nafkir ufanyike utafiti ebu
An ant on the move does more than a dozing ox.