Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

f679bfd60426a0e0bc2e3344b1e288f0.jpeg
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji108][emoji108][emoji108]

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Brother umetisha
Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana
Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi
Kwamba mtu mwenye lips [emoji182] nene ama nyembamba basi kuna kiungo kingine vinafanana copy right
Kwamba kama mtu ana vidole virefu vinene ama vyembamba basi kuna pahala ni same same
[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji23]kicheko ni pale ninapomuona mtu ana vidole vifupi sana kisha vyembamba wallah sipati picha pacha yake ikoje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Chunguza sana watu wasiopenda kuvaa open shoes na muda wote hataki hata mikono yake uone....!!!!
Between hizi ni assumptions tu za wanadamu usitishike ukaanza kukosa uhuru na viungo vyako, na wewe acha ufukunyuzi na kuanza kukodolea watu mimacho

NB: kuna watu huchagua wenza kutokana na mwonekano wa viungo hasa midomo na vidole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom