Kuna vizee fulani kule uto kazi ni kuroga wachezaji wa timu pinzani wasifanye vizuri

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ni vigumu sana mchezaji mzuri kutoka utopolo au kinye FC kufanya vizuri akihamia Simba hasa kwa mechi za ndani.

Hii si bahati mbaya ama wao wanavyoita eti mikosi. Huu ni utaratibu wa vizee fulani vinavyodiriki kufanya assist uwanjani ili Fei afunge.

Nimeona video ya Manzoki akitamba kuwafunga kinye FC kesho. Bahati mbaya maskini kwake kwani kuna vizee havilali leo kuhakikisha hatimizi ahadi yake.

Mpira utakwamia kinye FC na sitarajii kuwa watafanya vizuri kimataifa kwani hivi vizee vinaogopa kusafiri nje ya nchi kutekeleza majukumu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…