Kuna vyakula ukivichanganya vinakuwa sumu

Kuna vyakula ukivichanganya vinakuwa sumu

Huyo alikuwa na maagano yake na ziraili. hili nalipinga kwa 100%. Nimeshabishana sana na nimeshagonga mbele ya wabishi kama wewe...
Mimi mwenyewe nipo hapa nasema kuwa kula tango na asali hakuna madhara yeyeto.... Anayebisha anunue beseni la matango na asali litre 5 niwaoneshe kuwa asali na tango sio sumu.
 
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya...
Nimepata kitu
 
Oya acha masiara. Ng'ombe na mbuzi yeyote akila asali LAZIMA AFE. narudia tena, Ng'ombe na mbuzi akila asali LAZIMA AFE.
Acha uongo kijana..
Usikaze fuvu kwa vitu usivyovijua..
Asali/molasses hutumika vizur tu kwa ruminants(wanyama wenye matumbo 4) kama ng'ombe, na mbuzi.,
 
Tango na asali hutoboi labda kama unautumbo wa chuma
Hii ni chai ya Tangawizi.
Walimbwende(ma miss) hutumia asali pamoja na matango Tena Wana saga matango wanachanganya na asali au aloe vera kufanya ngozi zao ziwe nyororo.
 
Back
Top Bottom