Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Huko ndiko wasiojulikana wanapitia kuwanasa radicals wa JFIpeleke jukwaa la story of change. Waweza pata TZS5m. Nadhani huna haja na hela hiyo but do it for fun basi🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ndiko wasiojulikana wanapitia kuwanasa radicals wa JFIpeleke jukwaa la story of change. Waweza pata TZS5m. Nadhani huna haja na hela hiyo but do it for fun basi🙂
Sasa hapa ndio umeongea nini? Pesa za kujengea zinatoka wapi? Unajua return za real estates,machinga complex imepangishwa? Masoko kibao yaliyojengwa umeona yanatija?Kando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo vya kulipia, kwa wenye maduka wataingia bure kwani kodi yao inachangia huduma za choo.
Halmashauri kujenga nyumba za kupanga, litaondoa tatizo la uhaba wa nyumba na kupunguza adha ya kuishi kwenye face me I face you. Biashara ya nyumba ni huduma pia kwa jamii na ikifanyika kwa mtaji mkubwa ina faida.
Makusanyo ya kila wilaya yanaweza kuchangia mishahara ya polisi katika Wilaya hiyo kutokana na mahitaji yake ya ulinzi. Hii itaipungizia mzigo serikali kuu. Wilaya inaweza kuajiri polisi countable wa ziada kama inawahitaji.
Kudhibiti wabadhirifu wa mali ya umma.
Toa jipyaWatawala ubunifu wao umefika kikomo, hawana jipya
Sema CCM watakula kodi na kusingizia wapangaji hawalipiHizo nyumba Watanzania wengi hawatalipa kodi, itakuwa ni mradi wa hasara.
Mkuu biashara zote ikifanya serikali wewe utafanya nini?Kando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo vya kulipia, kwa wenye maduka wataingia bure kwani kodi yao inachangia huduma za choo.
Halmashauri kujenga nyumba za kupanga, litaondoa tatizo la uhaba wa nyumba na kupunguza adha ya kuishi kwenye face me I face you. Biashara ya nyumba ni huduma pia kwa jamii na ikifanyika kwa mtaji mkubwa ina faida.
Makusanyo ya kila wilaya yanaweza kuchangia mishahara ya polisi katika Wilaya hiyo kutokana na mahitaji yake ya ulinzi. Hii itaipungizia mzigo serikali kuu. Wilaya inaweza kuajiri polisi countable wa ziada kama inawahitaji.
Kudhibiti wabadhirifu wa mali ya umma.
Na watu wenye akili kubwa na mawazo mapana.Utaambiwa serikali huwa haifanyi biashara
Chama Cha Mazezeta na ubunifu ni sawa na mbingu na ArdhiKando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo vya kulipia, kwa wenye maduka wataingia bure kwani kodi yao inachangia huduma za choo.
Halmashauri kujenga nyumba za kupanga, litaondoa tatizo la uhaba wa nyumba na kupunguza adha ya kuishi kwenye face me I face you. Biashara ya nyumba ni huduma pia kwa jamii na ikifanyika kwa mtaji mkubwa ina faida.
Makusanyo ya kila wilaya yanaweza kuchangia mishahara ya polisi katika Wilaya hiyo kutokana na mahitaji yake ya ulinzi. Hii itaipungizia mzigo serikali kuu. Wilaya inaweza kuajiri polisi countable wa ziada kama inawahitaji.
Kudhibiti wabadhirifu wa mali ya umma.
Mahakama inapaswa kuendesha kesi za msingi zilizorundikana kuliko hizi za kudaina kodi za fremuUsipolipa unapelekwa mahamani na hukumu ya kutolewa kwenye nyumba inatoka. Pia unaharibiwa rekodi huwezi kupangishwa kokote tena. Yakiwatokea wachache itakua ni mfano.
Kwa hii kodi hata miamala ya simu itapungua. Tumerudia zama za ujima ndugu wanachukua pesa dukani kwa Mpemba Tabora unampelekea kaka yake pesa Magomeni. Wakishakubaliana pesa imefika Tabora inatoka.Mkuu biashara zote ikifanya serikali wewe utafanya nini?
Usiniambie serikali ikijenga fremu za kutosha mjini na vijijini siye tutawapangishia kina nani?
Mkuu tutakao athirika ni wengi kuliko madhara ya hiyo tozo
Lipa tozo kwa masirahi yako,nchi yako na kwa manufaa ya mafisadi
Mteja anaitwa mahakamani kujieleza kwanini hajakipa kodi na ni kwanini asifikuzwe. Maelezo yakiridhia analipa gharama za kesi pamoja na malimbikizo ya kodi mpaka amalize. Anaweza kulipa laki nne kama kodi ya awali ni laki tatu na nusu.Mahakama inapaswa kuendesha kesi za msingi zilizorundikana kuliko hizi za kudaina kodi za fremu
Hakuna serikali yoyote duniani inayo endelea bila kutoza kodi.
lazima watanzania tujenge utamaduni wa kujenga nchi yetu kwa kuchangia maendeleo.
Kama unauwezo wa kutuma pesa basi unajiweza, huwezi kusema eti ww ni masikini.
halafu unatozwa pindi unapo tuma na kutoa.
Ila kama kuna mapungufu kidogo tiyataje ili warekebishe kama inawezekana.
tulipe kodi, hakuna nchi inayoweza kujiendesha au kuleta maendeleo bila kulipa kodi.
hapana kodi hizi ni mahususi, haziendi sehemu nyingine isipokuwa kwenye maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya madara ya kusomea watoto zetu, kuboresha huduma za afya wanapo jifungulia mama zetu na dada zetu, kuboresha barabara zetu ili boda zetu zipite kwa wepesi.Hizi kodi ndio hizo ndio zinawajengea mahekalu wastaafu wakati hawana uhitaji nayo, na kuwazungusha kuona miradi. Kodi hizo hizo ndio zinatumika kununua maVXR ya viongozi, na kutengeneza misafara mirefu isiyo na tija.
Hizo kodi nyingine mbona hazikujenga hivyo vitu ndio zitajenga sasa? Wakati wa Magufuli tuliambiwa zimejengwa hospitali 67 za rufaa, zahanati 300+, tukaomba sana hatutaki idadi, bali tunataka liwekwe jedwali la hizo hospitali zilipo, mkoa, wilaya na kata, na thamani yake kisha tujiridhishe na hayo maneno. Hilo halikuwahi kufanyika. Ili tujue ww sio wale mlioshikiwa akili, weka jedwali la hizo hospitali zilipo, na thamani yake. Hapo nitajua kama unajua lolote, ama unapiga siasa mfu tu hapa jukwaani.hapana kodi hizi ni mahususi, haziendi sehemu nyingine isipokuwa kwenye maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya madara ya kusomea watoto zetu, kuboresha huduma za afya wanapo jifungulia mama zetu na dada zetu, kuboresha barabara zetu ili boda zetu zipite kwa wepesi.
Hakika umenena vema,kukuza mapato ya serikali kwa kuongeza Kodi kwa wananchi siyo tija sana,sababu inaongeza makovu kwa wananchi,badala yake mapato yaongezwe kwa kubuni Huduma ambazo wahitaji watalipia hizo Huduma kama ulivyoainisha,nipo Lebanon since mwezi wa tano,hii nchi kwa mfano ili kuogeza walipa kodi kwa kupunguza idadi ya wakwepa kodi VAT ni only 10%,compared na 18% ya Tanzania, hiki ni kiwango kikubwa sana,kwa mfano pata wafanyabiashara 1000 was uhakika was kulipa kodi ya ongezeko la thamani VAT kwa 10%, itakuwa bora kuliko kuweka 18% halafu wafanyabiashara 600 wakakwepa kodi,wewe unafikiri,hauwazi,,,,,,hongera kwa hoja nzuriKando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo vya kulipia, kwa wenye maduka wataingia bure kwani kodi yao inachangia huduma za choo.
Halmashauri kujenga nyumba za kupanga, litaondoa tatizo la uhaba wa nyumba na kupunguza adha ya kuishi kwenye face me I face you. Biashara ya nyumba ni huduma pia kwa jamii na ikifanyika kwa mtaji mkubwa ina faida.
Makusanyo ya kila wilaya yanaweza kuchangia mishahara ya polisi katika Wilaya hiyo kutokana na mahitaji yake ya ulinzi. Hii itaipungizia mzigo serikali kuu. Wilaya inaweza kuajiri polisi countable wa ziada kama inawahitaji.
Kudhibiti wabadhirifu wa mali ya umma.
Sasa Wamachinga wanajengewa Machings Comlex ambako si mapito ya watu. Wakijengewa kando ya barabara ni rahisi kuonana na wateja. Pia katika upanuzi wa barabara Serikali italipana na Halmashauri katika kuvunja maduka.Hakika umenena vema,kukuza mapato ya serikali kwa kuongeza Kodi kwa wananchi siyo tija sana,sababu inaongeza makovu kwa wananchi,badala yake mapato yaongezwe kwa kubuni Huduma ambazo wahitaji watalipia hizo Huduma kama ulivyoainisha,nipo Lebanon since mwezi wa tano,hii nchi kwa mfano ili kuogeza walipa kodi kwa kupunguza idadi ya wakwepa kodi VAT ni only 10%,compared na 18% ya Tanzania, hiki ni kiwango kikubwa sana,kwa mfano pata wafanyabiashara 1000 was uhakika was kulipa kodi ya ongezeko la thamani VAT kwa 10%, itakuwa bora kuliko kuweka 18% halafu wafanyabiashara 600 wakakwepa kodi,wewe unafikiri,hauwazi,,,,,,hongera kwa hoja nzuri
Hayawezi kuwa mapito ya watu kwa sababu machinga hawataki kwenda kule ila wakienda wateja watalazimika kuwafuata ili kupata huduma sema sisi machinga wetu wamezoea kufanya biashara kijanjanja hawataki kwenda kule wanataka kufanyia biashara barabarani kwa sababu ni rahisi kukwepa kodiSasa Wamachinga wanajengewa Machings Comlex ambako si mapito ya watu. Wakijengewa kando ya barabara ni rahisi kuonana na wateja. Pia katika upanuzi wa barabara Serikali italipana na Halmashauri katika kuvunja maduka.