Mnyiririone
Senior Member
- Sep 30, 2015
- 104
- 12
Huyu huenda wala si mwanachama mpya.....
Bwa mdogo hana displine kabisaa katanguliza miguu huyu
ndio maana nimeomba samahani kaka sikujua kama hao ni wanaume.
ila comments zao zina nakshi naksh me nikadhani ni madada
Mimi ni member mpya hapa Jf,
Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu.
Yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruhusu.