Kuna wadada humu wananichanganya roho

Kuna wadada humu wananichanganya roho

Et angewaoa...
hapa nampatia picha bwana puppa akiimba ule wimbo wa malaikaa nakupenda malaika...kijana mwenzioo...nashindwa na mali sina weee

Hahahaha sasa anakuwa anamuimbia nani??... Bujibuji au Asprin?
 
Last edited by a moderator:
ndio maana nimeomba samahani kaka sikujua kama hao ni wanaume.
ila comments zao zina nakshi naksh me nikadhani ni madada

Hahahaa yani bado unaendelea tu??

Nakshi nakshi zipi ulizoona??
 
Halafu na mimi muda mrefu nlikuwa natafuta sana mume.

Nitafute
 
duuu we dogo ulichofanya ni kuvunjia watu heshima kabisa yan....hivi ban haijakutembelea bado?
 
Hahaha ! Dogo kavurugwa huyo , dogo kazana na mastervation dadeki
 
Mimi ni member mpya hapa Jf,

Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu.

Yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruhusu.

duh, hauko sahihi..
 
Bwana shemeji ujue hata sikuusoma huu uzi jana? Nilikuwa na wenge la usingizi ndio meusoma now.

Nyambafu zake huyu dogo kwa kunitukania babu yangu Asprin

Ahsante kwa kunijali mpenzi. Sitakuangusha.
 
Back
Top Bottom