ErickjrJunior
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 328
- 78
Labda Alikua Anafatilia JF Bila Kujiunga, So Muda Alioutumia Kufatlia JF Bila Kujiunga Ni Muda Mrefu Kuliko Muda Alionao Baada Ya Kujiunga!!Huyu huenda wala si mwanachama mpya.....
Na Inaelekea Hawajui Vizur Wagiriki Mambo Yao, Ngoja!!mgiriki eti utaolewa? Huyu dogo hana adabu kabisaa...17yrs...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] !!! Anataka Kumuoa Na Mgiriki, Hivi Anawajua Vizur Wagiriki Lakini?? Na Mgiriki Ni Dume.Aah angerudi tu kusimulia vizuri teh
Ujue nyie mnazidi kuwatia hasira waliotajwa, shauri zako teh[emoji2] [emoji2] [emoji2] !!! Anataka Kumuoa Na Mgiriki, Hivi Anawajua Vizur Wagiriki Lakini?? Na Mgiriki Ni Dume.
Wampe Nakozi Tuu Za Kutosha!!!Ujue nyie mkazidi kuwatia hasira waliotajwa, shauri zako teh
Mbona hata hapa ni marafiki?
Ila uwe mwanamabadiliko tu,otherwise sitokujibu tena baada ya hapa.
Kama yupi? Si umtaje
Pole sana. Cheka kwa vibration.
Ni kweli kabisa. Natoa training, fee ni 100,000 kwa session ya masaa mawili. KaribuEti eeee, itabidi nijifunze siku nyingine watu wasinishangae maana hii jf haiishi majambo.
Nakshi nakshi mrembo...Nishike bega tucheze wimboo..muda ukifika tufanye mamboo
Ni kweli kabisa. Natoa training, fee ni 100,000 kwa session ya masaa mawili. Karibu
Hahaha! You sound so funny and interesting too. I like you! I`ll teach you for free just for making Me laugh alone.Hiyo mbona kidogo sana sema darasa ni wapi naja sasa hivi.
Watu mnajua kufanya campaign..... Urafiki mpaka uwe mwanamabadiliko hahaha
Mimi ni member mpya hapa Jf,
Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu.
Yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruhusu.

Kasema ana miaka 17 wamsamehe tu.
Ha ha ha haaaa yeuwiiii Nguruwe kaingia msikitinii... hahahahaaaa Asprin hahahaaa Jamani mieeee... Wacha niongee kikwetu kidogoo... Uuushooo Enkai tukutaiii ndarasin oo ndarasi.