Kuna wadada humu wananichanganya roho

Kuna wadada humu wananichanganya roho

Mbona hata hapa ni marafiki?
Ila uwe mwanamabadiliko tu,otherwise sitokujibu tena baada ya hapa.

Watu mnajua kufanya campaign..... Urafiki mpaka uwe mwanamabadiliko hahaha
 
Ha ha ha ha haaaa....kwee kwee kweee...kwii kwii kwiii
 
Mimi ni member mpya hapa Jf,

Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu.

Yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruhusu.

Dogo wengine ni wanaume...angalia yasikukute yaliyomkuta Dr pimbi
 
Mimi ni member mpya hapa Jf,

Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu.

Yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruhusu.

ha ha haaaa... Bujibuji kuna David Cameron ametangaza nia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom