Kuna wadada humu wananichanganya roho

Kuna wadada humu wananichanganya roho

Dogo hana adabu,yaani anataka kuwapumulia kisogoni akina asprin na bujibuji!
 
Mimi ni member mpya hapa Jf,

Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu.

Yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruhusu.

Asante mwaya....karibu sana..
 
Dogo puppa umewahi ishi UK?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni member mpya hapa Jf,

Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu.

Yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruhusu.

Unajua huna adabu embu mtoe kiwatengu hapo
 
Last edited by a moderator:
sio kuishi nimezaliwa uko ktk jiji la BIRMINGHAM baada ya mzee kufa tukarudi Tanzania mwaka 2005 nilikuwa na miaka 8. mimi natambulika kama raia wa uingereza.. uku Tanzania dhiki tu na njaa

Kama ni hivo, nimekusamehe dogo
 
Stuka... huyu mzoefu anajifanya kuzuga tu. Soma katikati ya mistari hapo utaelewa. Ni bweg.e limefungua ID mpya kiongozi. Yani seng.e flani hivi limeamua kuleta usenge.nyaji wake hapa.

mkuu aspirin huyu puppa ni kweli dogo tena amemaliza 4m 4 mwaka jana na mwaka huu ameomba vyuo vya afya kupitia nacte na amepangiwa chuo ...mi nimemfatilia vya kutosha na nimegundua ni dogo kweli nakuomba mkuu punguza jazba acha kutukana kisha mswamehe coz huyu kijana ni kama mwanao tu na inavyoonyesha ni kweli hakufaham kuwa ID yako ni yakiume
 
Stuka... huyu mzoefu anajifanya kuzuga tu. Soma katikati ya mistari hapo utaelewa. Ni bweg.e limefungua ID mpya kiongozi. Yani seng.e flani hivi limeamua kuleta usenge.nyaji wake hapa.

mkuu aspirin huyu puppa ni kweli dogo tena amemaliza 4m 4 mwaka jana na mwaka huu ameomba vyuo vya afya kupitia nacte na amepangiwa chuo ...mi nimemfatilia vya kutosha na nimegundua ni dogo kweli nakuomba mkuu punguza jazba acha kutukana kisha mswamehe coz huyu kijana ni kama mjukuu wako tu na inavyoonyesha ni kweli hakufaham kuwa ID yako ni yakiume
 
mdg wangu na ww uache tabia ya kutafuta mijimama huku..... haya nenda ukalale nshakufungia chandarua
 
Nifah kama ni mabadiliko mimi kwa kipindi hiki nakuacha kwanza hadi atakapotangazwa rais yoyote ndo tutakaa sawa sasa hv nipo kati kati sijapata pa kwenda
 
mkuu aspirin huyu puppa ni kweli dogo tena amemaliza 4m 4 mwaka jana na mwaka huu ameomba vyuo vya afya kupitia nacte na amepangiwa chuo ...mi nimemfatilia vya kutosha na nimegundua ni dogo kweli nakuomba mkuu punguza jazba acha kutukana kisha mswamehe coz huyu kijana ni kama mjukuu wako tu na inavyoonyesha ni kweli hakufaham kuwa ID yako ni yakiume

Ustaadh nashukuru kwa ushauri wako murua.

Ahsanta.
 
Mimi ni member mpya hapa Jf,

Ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu.

Yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruhusu.
Pumzika kwa amani mkuu.
Nimeiona post yako, japo nimechelewa kukujibu ulipokuwa hai hapa duniani.
Najua comment hii hutaiona....ila angalau nimefarijika kukujibu.
RIP puppa
Amen

CC: Evelyn Salt, cute b BADILI TABIA
 
R.I.P puppa!
Baada ya hii thread ulinifuata PM...laiti tungekuwa tunaijua siku ya kufa kwetu...
Daaah [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom