Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mwanamke kuwa na kucha za hivo ni uzombi na upumbavu.kucha kama ndege tumbusi.kwa kucha hizo mme wake akiwa anamshugulikia si anaweza kumkwarura nyundo yake na kuijeruhi
Yupo sawa 50/50Napita kwenye mtando fulani kupitia kipindi cha chanel 5 kikimuonesha joyce kiria yani aliyokuwa anayaongea kama kuna wanawake wanao sikilizaga kile kipindi cha ze dada huko mtapoteza mahusiano sana.
Tuje kwa hawa wengine wanao wapa ushauri sijui mahali bilio wakati mfahamu uchi anampa nani tena bure.Na wanawake hawa wamekuwa wengi mpaka wanafanya mabinti nzetu kutupa wasiwasi jinsi mnavo wachanganya kwenye maadili.
View attachment 3049948
niliposcreen shoot nimetoa mtandao X usiwe kama rango japo ni spika wabunge asiyejua katiba yake akiangalia za wenzakeKumbe unapata muda wa kumfatilia Joyce Kiria!? Jitafakari
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
πππ bro pokea simuMambo yake aachiwe daktari wake.....
Nipigie tena nlikua nachana nywele πΉπππ bro pokea simu
Napiga pokea sasa πΉπΉπΉNipigie tena nlikua nachana nywele πΉ