Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Napita kwenye mtando fulani kupitia kipindi cha chanel 5 kikimuonesha Joyce Kiria yaani aliyokuwa anayaongea kama kuna wanawake wanao sikilizaga kile kipindi cha ze dada huko mtapoteza mahusiano sana.
Tuje kwa hawa wengine wanao wapa ushauri sijui mahari bilioni wakati mfahamu uchi anampa nani tena bure. Na wanawake hawa wamekuwa wengi mpaka wanafanya mabinti nzetu kutupa wasiwasi jinsi mnavo wachanganya kwenye maadili.