Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Si ndio 😂😂Alaa, kumbe
Hivi kwa mfano ukiwa Wewe sio BIG halafu kuna mdau kila akikuona anakuita BIG hii ina maana gani? Kuna jamaa amekomaa ananiita BIG kila akiniona BIG halafu Mimi sio BIG natamani kumzingua nimwambie aloo mimi sio BIG, hivi hii inakuaje?duuuh, kumbe kuna wadada wa hivi
kulingana na misimu ya lugha ya kiswahili mtu akikuita BIG inamaana anakupa heshima kubwa ila akikuita DOGO ujue anakushusha heshima, kwahiyo mshkaji wako kukuita BIG ni heshima hiyoHivi kwa mfano ukiwa Wewe sio BIG halafu kuna mdau kila akikuona anakuita BIG hii ina maana gani? Kuna jamaa amekomaa ananiita BIG kila akiniona BIG halafu Mimi sio BIG natamani kumzingua nimwambie aloo mimi sio BIG, hivi hii inakuaje?
Kwa jamaa ni km anani-appreciate sana Mimi sielewi kabisa yeye akiniona ni BIG BIG yaan haniiti jina langu ananiita BIG ni km nina kitu kinacho mu-inspire na Mimi sijui nabaki kushangaa tu sielewi BIG kivipi Mimi mboni hata kitambi sinakulingana na misimu ya lugha ya kiswahili mtu akikuita BIG inamaana anakupa heshima kubwa ila akikuita DOGO ujue anakushusha heshima, kwahiyo mshkaji wako kukuita BIG ni heshima hiyo
nazani ni Swagger zake na life style yake tuKwa jamaa ni km anani-appreciate sana Mimi sielewi kabisa yeye akiniona ni BIG BIG yaan haniiti jina langu ananiita BIG ni km nina kitu kinacho mu-inspire na Mimi sijui nabaki kushangaa tu sielewi BIG kivipi Mimi mboni hata kitambi sina
Uwongo huoo huo ni uwongo bhana 😂😂😂Tumika, ndio kazi ya mwanamme .
Madeni yote ya mwanamke hulipwa na mwanamme.
Swagger ndio aniite Mimi BIG mbon wengine hawaiti hivyo?nazani ni Swagger zake na life style yake tu
Uzi mfupi kama koo la numbisaKuna wadada wana kiherehere, kanaanza mahusiano na mwanaume hana kazi wala biashara. Hujawahi kuona juhudi zake za utafutaji, unajichanganya kumchukulia mkopo halafu unakuja kutuita sisi wote mbwa sababu ya ubwege wako mwenyewe. Kaa jinga🥴🥴
Anakutaka huyo...Jela sio majina ya kuitana hayo.Swagger ndio aniite Mimi BIG mbon wengine hawaiti hivyo?
Inawezekana una mbichwa mkubwa hadi kusikitika kwa kukitingisha huwezi.Ndiyo jina BIG lilipoanzia.Hivi kwa mfano ukiwa Wewe sio BIG halafu kuna mdau kila akikuona anakuita BIG hii ina maana gani? Kuna jamaa amekomaa ananiita BIG kila akiniona BIG halafu Mimi sio BIG natamani kumzingua nimwambie aloo mimi sio BIG, hivi hii inakuaje?
Soma tena vizuriTumika, ndio kazi ya mwanamme .
Madeni yote ya mwanamke hulipwa na mwanamme.
Akikuita hivyo unapungua sehemu gani ya mwili wako???? Jumatatu itakuwa siku ya kwanza ya likizoHivi kwa mfano ukiwa Wewe sio BIG halafu kuna mdau kila akikuona anakuita BIG hii ina maana gani? Kuna jamaa amekomaa ananiita BIG kila akiniona BIG halafu Mimi sio BIG natamani kumzingua nimwambie aloo mimi sio BIG, hivi hii inakuaje?