Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Kuna wadada wana kiherehere, kanaanza mahusiano na mwanaume hana kazi wala biashara. Hujawahi kuona juhudi zake za utafutaji, unajichanganya kumchukulia mkopo halafu unakuja kutuita sisi wote mbwa sababu ya ubwege wako mwenyewe. Kaa jingaš„“š„“