Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Nimesoma komenti wadau wengi wanasema umpige chini,Mimi nashauri utulize kichwa kwanza huwezi jua mungu amekuandalia Nini maisha mwako,pengine ndo mwanamke wa maisha yako, kabla ya kumla kapimeni afya zenu kwanza kila la kheri bro!
Asante sana kwa ushauri mkuu.
 
Sawa mkwe wangu mwema.Kula halafu ule.Usisahau kuja nyumbani kwangu niwape baraka ili muishi bila hofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…