Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
- #441
Copy that! [emoji28]Take your time remember no hurry in Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Copy that! [emoji28]Take your time remember no hurry in Africa
Nimemgegeda kuanzia siku ya 2 mpk leo hii mkuu, bado niko nae kwangu [emoji28]Hujamgegeda kweli?najiulizatu mpaka munaenda hom lengo lilikua nin
Asante sana kwa ushuhuda huu mkuu.Nawafahamu watu wawili walioa bar maid na ndoa zao zimedumu,mmoja kati ya hao washkaji yeye alikutana na mwanamke night club,mm ni mvivu wa kuandika ila kwenye kupata mwanamke wa kuoa hakuna formula
[emoji1][emoji1]Em
Embu gegeda kwanza tuangalie kama yaliyomo yamo isije ikawa housing
astakafirullah
Kelsea....Wapate tu lkn yakiwakuta watalia kivyao wengine hatutakuwepo.
Asante sana kwa ushauri mkuu.Nimesoma komenti wadau wengi wanasema umpige chini,Mimi nashauri utulize kichwa kwanza huwezi jua mungu amekuandalia Nini maisha mwako,pengine ndo mwanamke wa maisha yako, kabla ya kumla kapimeni afya zenu kwanza kila la kheri bro!
Kampime mkuu.Nimemgegeda kuanzia siku ya 2 mpk leo hii mkuu, bado niko nae kwangu [emoji28]
Sawa mkwe wangu mwema.Kula halafu ule.Usisahau kuja nyumbani kwangu niwape baraka ili muishi bila hofu.Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress sikuamini. Mrefu, ana rangi ya udhurungi, shape ya kwenda, pua ya kisomali halafu nywele mpaka mgongoni! Baada ya malumbano yule binti mhudumu akawa analia.
Malezi niliyopewa na wazazi wangu ni kusababisha tabasamu kwa wengine, ingawa sababu ya ziada ni uzuri wake pia, nikamuita yule waitress, nikamuuliza kulikoni mbona malumbano? Akaniambia, "kaka angu, tangu nianze kazi hapa nina siku ya 9, kila mhudumu wa kike ananichukia wanadhani nitawachukulia mabwana zao, kumbe mimi natafuta maisha".
Nikapatwa na simanzi sana. Nikamwambia basi usilie, agiza kinywaji. Akasema na kazi anaacha. Eeh! Nikashtuka, akamuuliza kaunta anamdai sh ngapi ya vinjwaji, akamlipa hela yote, akaniambia kaka angu kama unataka kuninunulia bia twende ukaninunulie kwengine ila silali na wewe, nikamwambia poa. Kumbe ananipeleka sehemu ambayo atakutana na mwenyeji wake.
Tukahama joint, tukafika kwenye night club Moja hivi, akawa anakunywa bia kwa hasira kama mtu mwenye msongo hadi nikawa namzuia, wakati tuko pale akaja dada mmoja ambaye nilimuacha primary madarasa mawili, anamuita yule waitress dada, nikamuuliza vipi mnafahamiana? Akasema huyu ni mtoto wa marehemu mama mkubwa na mimi ndio nimempokea hapa mjini anaishi kwangu, ana matatizo makubwa, na yeye ndio kanitumia msg yuko hapa ndio nimekuja, yule waitress akafurahi kuona nafahamiana na ndugu yake.
Tamaa zikanijaa, nikamuomba sana niondoke naye kwasababu mimi sio stranger kwake tena kwasababu nafahamiana na ndugu yake, akaanza kumuuliza ndugu yake mara mbilimbili kwamba unamuamini huyu kaka? Ndugu yake akamjibu ndio, namfahamu sana tangu tukiwa Primary. Ikabidi ndugu yake aniapize kwamba sitafanya ufirauni [emoji2]
Tukaondoka, nikam-drop mdg mtu kwake, nikasepa na manzi. Tumefika kwangu aisee story aliyonipa inahuzunisha sana. Aliolewa miaka 2 iliyopita na mwanaume ambaye alikuwa na familia mkoani. Yeye akiwa amaemaliza Shahada yake ya kwanza ya BAF (Bachelor of Accounts and Finance) na kazi nzuri, mwanaume akamshauri aache kazi, kwa mapenzi binti akaacha kazi. Mwaka mmoja baadaye mwanaume akaanza kumnyanyasa, na ndio akagundua kwamba mwamba alikuwa ana mke na watoto 4 mkoa X!!! Kumbe binti ni yatima na alizaliwa kwao peke yake. Anachoshukuru ni hakuzaa na yule mwanaume kwasababu mwanaume hakutaka kuzaa nae kwa wakati ule.
Nikamuuliza kwanini auze bar na taaluma yake? Akasema ilibidi akimbie ule mkoa alipoolewa aje mkoa huu kuficha aibu na kuwasahaulisha watu, na akaona hawezi kukaa tu kwa ndugu yake bila kujishughulisha na chochote wakati anatafuta ajira. Kikubwa zaidi kwenye ile bar aliyoacha kazi hakuna mtu aliyekuwa anajua binti ni msomi, alijishusha afanane nao, nikamuuliza kazi umeacha kweli? akanijibu nimeacha kaka.
Baada ya zile story usiku wa jana nikamwambia haya lala mama. Asubuhi wakati naamka nakuta kavaa pensi na t-shirt yangu vyombo vyote kaosha, nguo chafu kafua, kuna sufuria nilitakaga kuzitupa ila kaziosha zimekuwa nyeupe kama theluji. Nikamuomba anioshe vyeti softcopy, aisee ni kichwa hasa, O na A level ni vijiti tu, Sekondari zote kasoma za kike. Chuo GPA KUBWA!
Mchana nikampa maelekezo asipike nitamuagizia Chakula ikabidi sasa nimtafute yule ndugu yake akaanza ku-verify zile taarifa alizonieleza Binti. Wakuu Mimi sijaoa, il Kuna Binti ambaye nilikuwa namfikiria fikiria kumuoa ila hili ni jaribu kwakweli. Yani huu ni wakati mgumu sana napitia, sielewi kwakweli. Sijamfanya kitu tangu Jana. Sasa hivi ndio nimeingia kwangu na msosi wake wa usiku namuangalia tu hapa namna alivyotulia kwenye kochi anatazama tamthilia.
[emoji848][emoji848]Mkuu angalia sana, hawa viumbe ni special sana ku act kulingana na mazingira.
Sawa mkuuKampime mkuu.
[emoji28][emoji28]Sawa mkwe wangu mwema.Kula halafu ule.Usisahau kuja nyumbani kwangu niwape baraka ili muishi bila hofu.
Unatema big G Kwa karanga za kuonjeshwa. Umuache mchumba Kwa ajili ya stranger. Kichwa cha MTU ndio serikali yake.Inabidi nitulize kichwa kwanza mkuu nisije nikafanya pupa nikaja kujuta baadaye.
Nimekusoma sana mkuu. Nashukuru kwa muongozo.Bro kama abakufaa na unampenda mpe muda alafu uje kuoa ila usiingie kwenye mahusiano na mtu kisa unamwonea huruma, kwanza wanawake sio watu wa kuwaonea huruma watakushangaza. Narudia tena Hakuna kuwaonea huruma wanawake hata walie machozi ya damu,
I think so, mkuu.Anzisha maisha na huyu Binti... Msaidie kupata kazi, then maisha yosonge... Hutakuja kujuta...
Nakutakia kila la kheri kwenye safari yako mpya ya mapenzi.Kelsea....
All the best... Katika hili nakusapoti 100%..... For sure...I think so, mkuu.
Mbona ghafla [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakutakia kila la kheri kwenye safari yako mpya ya mapenzi.