Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Wewe sio mzazi,hakuna mzazi mwenye akili ya kitoto hivi
 
Hivi mdada ku-date au kuolewa na mwanaume usiempenda, kwasababu tu huyo mwanaume ana hela, huko nako si kujiuza, tusiwa crash mabaamedi tu, wakati kuna wadada wanafanya kazi za ofisini zenye heshima tu, lakini na wao wanajiuza..tena sahivi 95% ya wadada wanajiuza ingawa hawasimami barabarani usiku kujipanga kama wale wengine Nashengena
 
Mleta mada kabla hujalala hakikisha unasoma hii post, na kila ukiamka after sala hakikisha unasoma tena hii post.
 
Wewe sio mzazi,hakuna mzazi mwenye akili ya kitoto hivi
Mzazi enhee😁ata wale madogo wanaoitwa WADUDU kule Arusha wana Wazazi na waliwazaa wakitumaini kuwa wengine watakuwa marubani, madaktari, askari to name the few🤣🤣Je matarajio yao ya sasa ni yepi??? Tafakari na Chukua hatua
 
Unakuwa na huruma na mwanamke?? Kwanza siku moja umewezaje kugundua kuwa uyo ni mwema kumbuka kuwa wewe ndiyo ulienda kuanzisha mazungumzo nae kwa style km umemuonea huruma so kajua hilo lazima ajishushe with full of sad stories kwakuwa she won u at first sight take care bro, hata maigizo tuyayaona runongani ingawa tunajua maigizo lakini yanatuumiza pia.
 
Namba 15 nakazia. Mwenye uwezo wa kumuokoa mtu na kumbadilisha ni Mungu tu.
 
Bado hujawajua wanawake. Jipe muda kabla hujachukua maamuzi yoyote maana ninachozingatia kwa sasa ni nyege tu zinakusumbua ila zikiisha akili itakurudia tena haswa kama ulishawahi pigwa tukio
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado hujawajua wanawake. Jipe muda kabla hujachukua maamuzi yoyote maana ninachozingatia kwa sasa ni nyege tu zinakusumbua ila zikiisha akili itakurudia tena haswa kama ulishawahi pigwa tukio
Niko nae mpaka leo hii bro, hakunaga genye za siku zote hizo [emoji28]
 
[emoji4][emoji4] Utu
 
Wewe wasema kuna watu wanapitia ugumu katika maisha hana choice maisha ni fumbo eti
 
Kwani bar Kuna tatizo gani kama sio wao wewe ungeenda hapo Nani akakupe huduma na usafi.
Acheni hulkq mbaya Hawa nao ni wafanyakazi na wanahitaji kuishi.
Tena ukiweza kumtoa hapo mahali utashangaa akawa mwanamke hasa wa kuishi.
Sio wote wako unavyodhania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…