Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Huyo ndg wa huyo binti ni mtu ambaye namuamini sana. Hawezi kunishuhudia uongo. Hana sababu ya kufanya hivyo. Hata Binti mwenyewe, Kwa sisi wenye macho ya rohoni anaonekana ni mkweli kabisa.
Haya ngoja tukupe muda utapata akili, narudia tena utapigwa na kitu kizito, yaani we unaopoa demu siku ya kwanza tu unadata na pua ya kisomali sio? Haya
 
Mle kwanza mengine baadae
 
Mkuu uko serious au unatania? [emoji848]
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁kweli kabisa naomba kwaya wote hovyo kabisa.oa kabisa baada ya kuzalisha ndio umtafutie kazi au kumfungulia biashara.hakikisha umeenda kujitambulisha kwao na kwenu.tulioa mabarmed tunaenjoy sana kwanza mzuri pia anajua kila kitu
 

Ungetunga kitabu. Hii story ya kufikirika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…