Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Picha
 
Mke MWEMA ANAPATIKANA POPOTE

ila jitafakari ukipata majibu CHUKUA HATUA
 
Watu wanawachukulia wahudumu wa bar kama Malaya,kama watu wasiyofaa

Hii siyo kweli

Huku nyuma Kuna maumivu makali mnoo ila Mungu ndiye anayejua
 
Umenifurahisha kutomgusa.

Umefanya poa sana. Acha akupe akiwa hana msongo wa mawazo muenjoy wote.
 
Unawindwa na ushaingia kwenye mtego
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…