Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

𝗡𝗶𝗽𝗲 𝗺𝗺 𝗵𝘂𝘆𝗼 𝗯𝗿𝗼 𝗻𝗶𝗼𝗲 𝗺𝗺 𝘀𝗶𝗻𝗮 𝗺𝗸𝗲.
 
Another man down jana na leo umeshasahau uliekuuwa unataka kumuowa mwanake ni jasusi htr sn
 
Kaka,Mungu kakuletea mke mpaka mikononi,shauri zako,hayo ni makusudi ya Mungu kakupa mke ili umuamini akukuletea na mtu mliosoma pamoja!
 
Wewe ni mgeni na wahudumu wa bar.... Utakuja kupigwa na kitu kizito!!! Yaani we umeopoa siku ya kwanza tu unajiona mjanja? Jiulize kabla yako wameopoa wangapi ndugu, na w ote mmepewa story hio hio, hata kama maisha magumu kiasi Gani mwanamke anayejua thamani yake hawezi kufanya kazi bar, period!!!
Sasa,watahudumia kina nani? Maana hata akiletwa wa miaka 60,lazima kuna vijana watamptelekea moto.
 
Back
Top Bottom