Kuna wadadisi wanawaza kuna uwezekano Putin ni pandikizi la Marekani, ameiharibu Urusi

Kuna wadadisi wanawaza kuna uwezekano Putin ni pandikizi la Marekani, ameiharibu Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi ila ikawa ngumu, hawakua wanaingilika.

Lakini chini ya uongozi wa Putin, Urusi imeshushwa mpaka basi tu, Warusi wa Buza muomboleze kwa ajili ya mother Russia.

Clipboard02.jpg

According to Russian propaganda, Gorbachev and Yeltsin were CIA agents tasked with destroying the USSR.

This narrative, although debunked by the EU’s foreign affairs service, still holds in parts of Russian society; the last President of the USSR and the first President of Russia accused of having harmed the motherland, the first by surrendering in the Cold War without a fight, and the second for allegedly allowing the US to deplete Russia of much of its wealth.

Following such dubious logic, we could say that Putin is possibly a CIA asset because his war in Ukraine is damaging Russia more than its most powerful adversary could ever dream of inflicting (without using nuclear weapons).
 
Wengine mnaanzisha uzi ili mpate comment,niambie baada ya kusambaratika USSR,ni chini ya kiongozi yupi Urusi,limejijenga tena na kupata heshima,tena kuwa taifa kubwa na tishio kwa ulaya nzima na marekani?"Putin apewe maua yake,tusisubiri afe".

Nakiri chini ya huyo Putin, Urusi ilikua imepiga hatua sana, na kuna kipindi nilikua nafurahishwa na namna alikua anachakaza magaidi ya dini, kwanza lile tamko lake la "Kusamehe magaidi ni kazi ya Mungu, ila yeye Putin kazi yake ni kuwawahisha huko kwa Mungu".

Nahisi aidha kwenye wapambe wake kuna mapandikizi ya Marekani waliomdanganya akaingia kwenye mkenge wa kuivamia Ukraine maana kuanzia hapo kaangukia pua mpaka basi tu, kaisambaratisha Urusi na kuirudisha mbali sana kuleeeee!!!!
 
Nakiri chini ya huyo Putin, Urusi ilikua imepiga hatua sana, na kuna kipindi nilikua nafurahishwa na namna alikua anachakaza magaidi ya dini, kwanza lile tamko lake la "Kusamehe magaidi ni kazi ya Mungu, ila yeye Putin kazi yake ni kuwawahisha huko kwa Mungu"...
You wish.

Putin anakaendesha hako kamume kako mpaka huelewi umchukie au umzushie uongo.
 
Nakiri chini ya huyo Putin, Urusi ilikua imepiga hatua sana, na kuna kipindi nilikua nafurahishwa na namna alikua anachakaza magaidi ya dini, kwanza lile tamko lake la "Kusamehe magaidi ni kazi ya Mung...
mkuu athari za kuivamia ukraine ni ndogo,kuliko kuiacha ukraine ijiunge nato,ina maana urusi ingezungukwa na nato pande zote,na usa wangeweka mitambo yao mlangoni kwa urusi na kujua kila anachofanya,alichonacho na muda wowote nato wangemvamia na kugawana maliasili ilizonazo..
 
mkuu athari za kuivamia ukraine ni ndogo,kuliko kuiacha ukraine ijiunge nato,ina maana urusi ingezungukwa na nato pande zote,na usa wangeweka mitambo yao mlangoni kwa urusi,na kujua kila anachofanya,alichonacho na muda wowote nato wangemvamia na kugawana maliasili ilizonazo..

Hivi mnatumia muda kujielimisha haya mambo au mnaskliza vya huko vijiweni tu.

Hebu waza Dar es Salaam hadi Kigoma uunge hadi Bujumbura, Burundi na bado uendelee ndio utimize kilomita 1,340.

Ndio urefu wa mpaka wa Finland na Urusi, kwa kifupi NATO yupo mpakani na Urusi kwa urefu wote huo, yote hii kisa uchoko wa kuivamia Ukraine.

Na kwa taarifa yako vitaifa vyote vilivyoizingira Urusi vinakimbilia NATO kwa sasa, hamna namna maana imedhihirikia ndiye nduli.
 
Vita ya Urusi na Ukraine ni kutengeneza tu baina ya hao mabwanyenye wa Dunia. Hivi kweli kabisa Urusi yenye jeshi la pili kwa ukubwa na ubora dunia mpaka leo hii hajaichukua Kiev? Au ni wakutegemea wafungwa kupigania Taifa lake?

Angalia nani anafaidika? Ni wauzaji silaha

Kiev inapopewa Silaha, Wauzaji wanafadika.

US na NATO wakiwapa silaha maana yake kuna bajeti ya kununua hizo silaha au kureplace zilizotoka kuwaoa
NATO members wameongezeka na pia wanaongeza bajeti ya matumizi katika masuala ya ulinzi ikiwemo Silaha, kuna asilimia walikubaliana kama wanachama lakini wachache sana walifikia. Bajeti zaidi, maana yake ununuzi pia Silaha zaidi na hivyo faida kwa wauza silaha
 
mkuu athari za kuivamia ukraine ni ndogo,kuliko kuiacha ukraine ijiunge nato,ina maana urusi ingezungukwa na nato pande zote,na usa wangeweka mitambo yao mlangoni kwa urusi,na kujua kila anachofanya,alichonacho na muda wowote nato wangemvamia na kugawana maliasili ilizonazo..
Ndicho anachosema mleta uzi, Ukraine kujiunga NATO inakuwa ni suala la muda, tena ikiwa na jeshi la vifaa vya kisasa, Sweden na Finland ambayo ndio ina mpaka mrefu sana na Urusi katika za Ulaya imejiunga na NATO. Tena wote wana modernise their militaries. Kwa ufupi kawasogeza zaidi NATO kwake wakitarajiwa kuwa na silaha za kutosha.
 
Wengine mnaanzisha uzi ili mpate comment,niambie baada ya kusambaratika USSR,ni chini ya kiongozi yupi Urusi,limejijenga tena na kupata heshima,tena kuwa taifa kubwa na tishio kwa ulaya nzima na marekani?"Putin apewe maua yake,tusisubiri afe".
kuwa serious mkuu ,imejijenga vipi ? kiuchumi hapana kisiiasa hapana labda kijeshi na ndo anazidi didimia kisa ukraine sasa unamsifu putin kwa lipi?
 
Nakiri chini ya huyo Putin, Urusi ilikua imepiga hatua sana, na kuna kipindi nilikua nafurahishwa na namna alikua anachakaza magaidi ya dini, kwanza lile tamko lake la "Kusamehe magaidi ni kazi ya Mungu, ila yeye Putin kazi yake ni kuwawahisha huko kwa Mungu".
Nahisi aidha kwenye wapambe wake kuna mapandikizi ya Marekani waliomdanganya akaingia kwenye mkenge wa kuivamia Ukraine maana kuanzia hapo kaangukia pua mpaka basi tu, kaisambaratisha Urusi na kuirudisha mbali sana kuleeeee!!!!
Uchumi wa Urusi unapaa na utazidi wa UK na German. Ambao ndio vinara vya Uchumi dhabiti Ulaya.
Sarafu inafanya vyema kulinganisha kabla ya Vita. IMF
 
Hivi mnatumia muda kujielimisha haya mambo au mnaskliza vya huko vijiweni tu...
Hebu waza Dar es Salaam hadi Kigoma uunge hadi Bujumbura, Burundi na bado uendelee ndio utimize kilomita 1,340
Ndio urefu wa mpaka wa Finland na Urusi, kwa kifupi NATO yupo mpakani na Urusi kwa urefu wote huo, yote hii kisa uchoko wa kuivamia Ukraine.
Na kwa taarifa yako vitaifa vyote vilivyoizingira Urusi vinakimbilia NATO kwa sasa, hamna namna maana imedhihirikia ndiye nduli.
Sasa URUSI INAOGOPA NATO? WATACHUNGUZANA WOTE TECHNOLOGIA zao. IKUMBUKWE Hawezi pigana Vita Daina maana itakuwa Vita ya Dunia.
 
Hivi mnatumia muda kujielimisha haya mambo au mnaskliza vya huko vijiweni tu.

Hebu waza Dar es Salaam hadi Kigoma uunge hadi Bujumbura, Burundi na bado uendelee ndio utimize kilomita 1,340.

Ndio urefu wa mpaka wa Finland na Urusi, kwa kifupi NATO yupo mpakani na Urusi kwa urefu wote huo, yote hii kisa uchoko wa kuivamia Ukraine.

Na kwa taarifa yako vitaifa vyote vilivyoizingira Urusi vinakimbilia NATO kwa sasa, hamna namna maana imedhihirikia ndiye nduli.
NATO ilishajifia.
 
Back
Top Bottom