Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
We jamaa nahisi dishi limeyumba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi mwingine huyu hapa, NATO ilishajifia..... wakati ndo baba lenu anawaogopa wasije kuingia Ukraine hadi kaamua kuingia vitani na Ukraine kuzuia Ukrainian kujiunga huko.NATO ilishajifia.
Huna akili Urusi mafanikio iliyoyapata yalitoka West baada ya kuunganishwa kichumi, na hiyo vita USSR mafanikio aliyapata kwa kupata msaada wa jeshi la US na Ulaya ndio akajiona na kiburi lakini sasa jamaa wamempiga pini na kumnyanganya zile neema alizopata kupitia mgongo wao.,Wengine mnaanzisha uzi ili mpate comment,niambie baada ya kusambaratika USSR,ni chini ya kiongozi yupi Urusi,limejijenga tena na kupata heshima,tena kuwa taifa kubwa na tishio kwa ulaya nzima na marekani?"Putin apewe maua yake,tusisubiri afe".
Ungebakia TU huko huko Facebook [emoji1787]Chizi mwingine huyu hapa, NATO ilishajifia..... wakati ndo baba lenu anawaogopa wasije kuingia Ukraine hadi kaamua kuingia vitani na Ukraine kuzuia Ukrainian kujiunga huko.
Kwahiyo unamanisha Putin wenu anaogopa wafu? Na kuwasahau Finland na Sweden ambao wanashare mpaka mrefu na tayari wamejiunga na NATO na wako mlangoni kwa Putin.
.Chizi mwingine huyu hapa, NATO ilishajifia..... wakati ndo baba lenu anawaogopa wasije kuingia Ukraine hadi kaamua kuingia vitani na Ukraine kuzuia Ukrainian kujiunga huko.
Kwahiyo unamanisha Putin wenu anaogopa wafu? Na kuwasahau Finland na Sweden ambao wanashare mpaka mrefu na tayari wamejiunga na NATO na wako mlangoni kwa Putin.
Huyu apelekwe mirembe amechanganyikiwa.Urusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi ila ikawa ngumu, hawakua wanaingilika.
Lakini chini ya uongozi wa Putin, Urusi imeshushwa mpaka basi tu, Warusi wa Buza muomboleze kwa ajili ya mother Russia.
View attachment 2606824
According to Russian propaganda, Gorbachev and Yeltsin were CIA agents tasked with destroying the USSR.
This narrative, although debunked by the EU’s foreign affairs service, still holds in parts of Russian society; the last President of the USSR and the first President of Russia accused of having harmed the motherland, the first by surrendering in the Cold War without a fight, and the second for allegedly allowing the US to deplete Russia of much of its wealth.
Following such dubious logic, we could say that Putin is possibly a CIA asset because his war in Ukraine is damaging Russia more than its most powerful adversary could ever dream of inflicting (without using nuclear weapons).
![]()
The Brief – Is Putin a CIA asset? - Euractiv
According to Russian propaganda, Gorbachev and Yeltsin were CIA agents tasked with destroying the USSR. This narrative, although debunked by the EU’s foreign affairs service, still holds in parts of Russian society; the last President of the USSR and the first...www.euractiv.com
Hamna kitu kama hicho mkuumkuu athari za kuivamia ukraine ni ndogo,kuliko kuiacha ukraine ijiunge nato,ina maana urusi ingezungukwa na nato pande zote,na usa wangeweka mitambo yao mlangoni kwa urusi na kujua kila anachofanya,alichonacho na muda wowote nato wangemvamia na kugawana maliasili ilizonazo..
ok,sawa mkuu...Huna akili Urusi mafanikio iliyoyapata yalitoka West baada ya kuunganishwa kichumi, na hiyo vita USSR mafanikio aliyapata kwa kupata msaada wa jeshi la US na Ulaya ndio akajiona na kiburi lakini sasa jamaa wamempiga pini na kumnyanganya zile neema alizopata kupitia mgongo wao.,
Juzi putin amelazimika kukata mishahara ya wananchi % ili iende kusaidia vita aliyoianzisha yeye kwa ujinga wake tu sasa wananchi wake ndio wanalipa price yake matokeo yake njaa itatawala russia.
Uchumi wa Russia umeanza kuanguka hata miaka 2 ya vita haijaisha, ni suala la muda tu Urusi inaweza kua kama zimbabwe
Wajuzi wa mambo gani unahangaika sana bla bla nyingi subiri muendelee kula kipigoUrusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi ila ikawa ngumu, hawakua wanaingilika.
Lakini chini ya uongozi wa Putin, Urusi imeshushwa mpaka basi tu, Warusi wa Buza muomboleze kwa ajili ya mother Russia.
View attachment 2606824
According to Russian propaganda, Gorbachev and Yeltsin were CIA agents tasked with destroying the USSR.
This narrative, although debunked by the EU’s foreign affairs service, still holds in parts of Russian society; the last President of the USSR and the first President of Russia accused of having harmed the motherland, the first by surrendering in the Cold War without a fight, and the second for allegedly allowing the US to deplete Russia of much of its wealth.
Following such dubious logic, we could say that Putin is possibly a CIA asset because his war in Ukraine is damaging Russia more than its most powerful adversary could ever dream of inflicting (without using nuclear weapons).
![]()
The Brief – Is Putin a CIA asset? - Euractiv
According to Russian propaganda, Gorbachev and Yeltsin were CIA agents tasked with destroying the USSR. This narrative, although debunked by the EU’s foreign affairs service, still holds in parts of Russian society; the last President of the USSR and the first...www.euractiv.com
mkuu samahani, mara nyingi huwa unaandika vitu humu ila sijawahi kuchangia,Hivi mnatumia muda kujielimisha haya mambo au mnaskliza vya huko vijiweni tu.
Hebu waza Dar es Salaam hadi Kigoma uunge hadi Bujumbura, Burundi na bado uendelee ndio utimize kilomita 1,340.
Ndio urefu wa mpaka wa Finland na Urusi, kwa kifupi NATO yupo mpakani na Urusi kwa urefu wote huo, yote hii kisa uchoko wa kuivamia Ukraine.
Na kwa taarifa yako vitaifa vyote vilivyoizingira Urusi vinakimbilia NATO kwa sasa, hamna namna maana imedhihirikia ndiye nduli.
Bursher Wako tu huwa hujui atakupiga ngapi sembuse mipango ya Putin ndo utaijuaMei 9 imefika jamaa hajatimiza chochote, anakwenda kuhutubia, namhurumia sana huyo mzee...
Put inWengine mnaanzisha uzi ili mpate comment,niambie baada ya kusambaratika USSR,ni chini ya kiongozi yupi Urusi,limejijenga tena na kupata heshima,tena kuwa taifa kubwa na tishio kwa ulaya nzima na marekani?"Putin apewe maua yake,tusisubiri afe".
mkuu samahani, mara nyingi huwa unaandika vitu humu ila sijawahi kuchangia,
naomba nikuulize, unaijua geografia ya majirani wa urusi pande zote?
tukianzia mashariki, technically tunaweza sema anapakana na US & Japan, kupitia upande huu wa mashariki hakuna mtu timamu atathubutu kuivamia Russia kwa sababu kwanza mpaka ni bahari, kisha misitu, milima, barafu, mapori makubwa n.k mpk ufike moscow itachukua muda mrefu mnoooo....
upande wa kusini ni maji pia, japo unaweza sema wapo turkey na jamaa wengine ambao ni former USSR, still upande huu hakuingiliki kirahisi,....
upande wa magharibi ndio yupo Ukraine, ile ni ardhi tambalale, kutoka mpaka wa ukraine mpk moscow au hata st petersburg sio mbali kihivo ukilinganisha ni njia zingine, kwaio mtu akiwa na nia ya kuivamia urusi ni lazima apite Ukraine to have any realistic chance of reaching moscow or st petersburg....., na ile ardhi ya ukraine haina milima, mabonde, wala misitu mikubwa!
ni upande huu wa magharibi ndipo wote waliojaribu kuivamia Russia waliplan kupita, kina hitler na wengineo wote waliishia either poland, na waliovuka hapo waliishia ukriane (hicho kimji cha bakmut?).......
upande wa kaskazini, kina finland licha ya kuwa na mpaka mkubwa ila hawana logistic advantage aliyonayo Ukraine, hakuna mtu ataplan kuivamia Urusi kupitia finland (tazama ramani utaelewa ninachoongea),....
kwa kuhitimisha, hapakua na namna nyingine zaidi ya hii kwa Russia, hawakua na chaguo jingine zaidi ya kuvamia ukraine,... gharama wanayolipa sasa ni ndogo ukilinganisha na gharama ambayo wangelipa endapo ukriane angeingia NATO,...... yani kuruhusu kambi za NATO luhansk na Donetsk ingekua ni hatari mnooo kwa urusi, maana wakati wowote wangeweza kumvamia na asiweze kujitetea........