Tetesi: Kuna wadau wanaandaa mpango wa kuchafua taswira ya zoezi zima la ununuzi wa korosho kwa lego la kuichafua serikali

kandambili2

Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
67
Reaction score
21
Kuna taarifa kwamba baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na baadhi ya wajumbe wa bodi ya korosho iliyotumbuliwa wako katika harakati za kutaka kuharibu taswira juu ya ununuzi wa korosho unaofanywa na serikali hasa katika mikoa ya kusini kwa dhumuni la kuichafua serikali na kuihadaa jamii ya wakulima, majina ya wabunge hao pamoja na wajumbe wa bodi yapo, ila yatawekwa wazi katika namna sahihi.
 
Hao hao ndio walisema kupitia waziri kuwa Serikali itabangua korosho kwa miaka mingi hivo inawaomba wafanyabiashara kuja kubangua na pia wakahamasisha wananchi kwenda kwa DC/RC kuomba kulipwa hela zao za koroshow maana ni muda hawajalipwa
 
I see ! Hatari sana !
 
Huo ni mkakati wa kujihami ili mambo yakienda mrama wapate "mchawi" wa kumbebesha zigo la ngosha; ile kazi imeshakua ngumu!
 
hakuna lolote, ni uzushi wa mashetani kujishtukia yenyewe baada ya kuona mpango wao wa ma ko roshow kwenda slow na kuona yanahujumiwa, hayakawii kutuhadaa kuwa hiyo bodi iliotumbuliwa wanatumiwa na mabeberu(limsemo lao la kuzugia), yalishaonywa mwanzo hayakusikia!

ova!
 
Hivi ni nani mwenye akili timamu anaweza kuchafua taswira ya serikali? Kama sio serikali yenyewe inachafua taswira yake kwa kufanya vitu ambavyo haina uwezo wa kuvifanya? Kutaka kununua korosho wakati haina hela? Kukataa kuwauzia korosho wafanyabiashara kabla ya deadline haijaisha hili swala serikali imejichafua yenyewe..
 
Fast- moving piece of iron is the suitable solution.
 

You could have explained how exactly this plan is implemented rather than writing your own emotions and feelings....
 
Inashangaza mno ni kwa namna gani mtu anaweza kujaribu kuhujumu matendo mema ya Serikali kwa Raia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…