kandambili2
Member
- Aug 20, 2010
- 67
- 21
Kuna taarifa kwamba baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na baadhi ya wajumbe wa bodi ya korosho iliyotumbuliwa wako katika harakati za kutaka kuharibu taswira juu ya ununuzi wa korosho unaofanywa na serikali hasa katika mikoa ya kusini kwa dhumuni la kuichafua serikali na kuihadaa jamii ya wakulima, majina ya wabunge hao pamoja na wajumbe wa bodi yapo, ila yatawekwa wazi katika namna sahihi.