Kuna wafanyabiashara sio wakarimu kabisa kwa wateja, wanazidiwa na boda boda!

Mimi nafanya biashara ila kiukweli mteja anayesimama barabarani na kuniita huwa hainibariki!, Pia kiubinadamu sio ustaarabu
mkuu sikuwa mbali sana yaani ni kama hatua tano tu alafu uzuri hakuwa na mteja mwingne pale ndani
 
Hao wengi ni wale wanakua na soko la uhakika, yani ana wateja wake ambao kila siku lazima wanunue kwake.

Ila huwa wanakera aisee, mtu unampa hela tena wewe mteja umeenda kwa uchangamfu kabisa ila mtu anakuletea ukazu, anakujibu short na hovyo kabisa.
 
ni kweli mkuu hilo lipo.

Hata kama ana wateja wake wa uhakika huenda wasiwe wa kudumu, hata hvyo hyo siyo sababu ya maana kwa mtu mwenye akili timamu

Nawatafakari sana
 
Hii tabia nimeiona kwa watu tofauti tofauti, sijuwi wanafanyaje ili biashara zao ziendelee kuwa hai maana si kwa dharau hizi kwa wateja!!

Ni wale ambao ukifika dukani kwake hana hata muda wa kukutazama kiasi kwamba mpaka wewe ndio uanze kumuongelesha! Jamaa hacheki, amekunja ndita!

Kuna wafanya biashara kwakweli ukifika dukani/kazini kwao wanakuchangamkia mpaka unaona raha! Yani unaenda kuulizia bei tu, atakushawishi mpaka ununue!! wakarimu, wacheshi, wachangamfu safi sana! [emoji4][emoji4]

ona huyu sasa: napita mtaa flani hapo nakaona nichukue maji kwenye duka moja hivi, kwakuwa kapikipiki kangu ni kabovu bovu, nikabaki nimekashikilia ili kasizime!
nikamwambia jamaa niletee maji ya buku, jamaa akanitizama kwa dharau, akaweka headphone masikioni, akaketi kwenye kiti!
Watu wa aina hii naona wamekurupuka tu biashara sio fani zao.

TUJIFUNZE KUWA WAKARIMU KWA WATEJA WETU JAMANI
Nilikuona sema nikakukaushia tu. Huwez kunisunbua mm maji yenyewe lita 1 ya jero faida 50 tu.
 
[emoji28]basi hayo maji ungeachana nayo tu (usingeyaweka dukani, naamini yapo hapo ili yauzwe)
Kwan wewe kushuka pale ulishindwa nni?. We unaniita "wewe kijana Lete maji hapa harakat". Dharau kama hiz mm sipendi digrii na Mimi ninayo
 
Hii tabia nimeiona kwa watu tofauti tofauti, sijuwi wanafanyaje ili biashara zao ziendelee kuwa hai maana si kwa dharau hizi kwa wateja!!

Ni wale ambao ukifika dukani kwake hana hata muda wa kukutazama kiasi kwamba mpaka wewe ndio uanze kumuongelesha! Jamaa hacheki, amekunja ndita!

Kuna wafanya biashara kwakweli ukifika dukani/kazini kwao wanakuchangamkia mpaka unaona raha! Yani unaenda kuulizia bei tu, atakushawishi mpaka ununue!! wakarimu, wacheshi, wachangamfu safi sana! [emoji4][emoji4]

ona huyu sasa: napita mtaa flani hapo nakaona nichukue maji kwenye duka moja hivi, kwakuwa kapikipiki kangu ni kabovu bovu, nikabaki nimekashikilia ili kasizime!
nikamwambia jamaa niletee maji ya buku, jamaa akanitizama kwa dharau, akaweka headphone masikioni, akaketi kwenye kiti!
Watu wa aina hii naona wamekurupuka tu biashara sio fani zao.

TUJIFUNZE KUWA WAKARIMU KWA WATEJA WETU JAMANI
Umenikumbusha mbali sana palikuwa na mam mmoja posion fulani nzuri ya biashara yani aliona ndio peke yake kwenye game. Ila hakujuws ipo siku ule mtaa ungekuwa na maduka kama yote siku hazigan b. Yule kujipodoa na jukaa dukan akitamani sifiwa kuliko nunua bidha yake hana Asante wala karibu. Kwakweli ilikuwa ngumu kumeza pale aliona wateja wakifungasha kwenye maduka ya wenzake huku yeye akijaza matangazo ya bidhaa bila wateja
 
alidhani atadumu milele
 
lugha ngumu[emoji848]

Mfano..?
Mimi siwatetei wafanyabiashara wajeuri.
Lakini pia kuna baadhi ya wateja pia ni pasua kichwa,kwa mfano anaweza akaja akakwambia wewe boya acha kuzubaa leta maji ya buku hapa.
Na hamjuani mmeonana muda huo huo
 
Dah [emoji1]
 
Mimi nafanya biashara ila kiukweli mteja anayesimama barabarani na kuniita huwa hainibariki!, Pia kiubinadamu sio ustaarabu
Huwezi fanya biashara mitaa ya kishua ambapo asilimia kubwa watu wanapita na magari na kukuita....wenzio wako sharp sana wanakuja fasta na wanasura za kukukaribisha....sasa wewe mwenzetu sijui uko uswahili gani huko unafanya biashara. MTEJA NI MFALME...Waliosema ivo hawakukosea.
 
Mfanyabiashara wa aina hiyo anakuwa na kazi zingine zinazompatia kipato hizo ndio zinampa jeuri hiyo biashara inakuwa ni ya kuzugia tu so anakuwa na ile mentality ya kwamba" ukija kununua na usipokuja yote sawa tu kwangu niko na pesa za kutumia" ila mfanyabiashara ambaye yuko serious na anaitegemea hiyo hiyo biashara kuendesha maisha yake yote hawezi kuiachia hela kizembezembe hivyo eti kwa sababu mteja yuko nje ya duka.
 
Back
Top Bottom