Kuna wafanyabiashara sio wakarimu kabisa kwa wateja, wanazidiwa na boda boda!

Mimi nakuchangamkia vizuri lakini kwenye suala la kukopa aise network huwa inakata aise sometimes wateja wengine wanachukia Mimi kukataa kukopesha ilhali wao Ni wateja wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…