Kuna wajumbe 7 "vihiyo" katika bunge la katiba!?

Kuna wajumbe 7 "vihiyo" katika bunge la katiba!?

Mwalimu ni Mohamedi Mtoi shule ya kata pale Tanga Mjini lakini kila siku mnashinda wote Ufipa.

Kabla hawajaja shule ya kata wanatakiwa wawe wamefaulu shule ya msingi ambako huko wanakuwa wamepita kwenye mikono ya walimu kama huyu

salma kikwete.JPG
 
Mwenyekiti na Makamo wake ni kambi moja na hao saba ni kambi moja basi!
Kutia tiki si lazima uende shule.
Kwa hiyo vihiyo wote hao wanatoka CCM!!!!
 
Umemsahau KINGUNGE ambaye ameteuliwa kupitia NGO ya Sangoma.
 
heee wewe ndo umeona leo ndugu yangu?

Jana katika kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba kura 7 ziliharibika! Leo pia zimeharibika kura 7 katika zoezi la kumchagua makamu mwenyekiti!

Inaelekea ni wale wale walioharibu kura jana wameharibu tena leo!

Wajumbe jichunguzeni vinginevyo hao 7 watalidhililisha bunge hilo"
 
Back
Top Bottom