Kuna wakati inatakiwa uwe mwanaCCM kwa baadhi ya mambo uelewe wanamaanisha nini

Kuna wakati inatakiwa uwe mwanaCCM kwa baadhi ya mambo uelewe wanamaanisha nini

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
IMG-20241001-WA0038.jpg
 
Hii michawa inagaragara kwa matope kumsifia mama unafikiri ni bure bure ?- kwa taarifa yako inapata hela inakula inashiba, familia zao zinaenda haja mara 3 kwa siku.

Wewe mzalendo mtanganyika haja ni mara 1 baada ya siku 3 dadeq.
 
Ipo siku wazee wetu watavalishwa Madela.
 
Huu ni udharirishaji watu kuabu binadamu mwezio.wa penda haki na vyombo wakemee hii
 
Bora nifwe rofa kuliko kujiunga na hao mafedhuri.
 
Naomba video ya Jenista Mhagama wakati akigalagala.
 
Back
Top Bottom