Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Habari zenu ndugu zangu, japo hatufahamiani ila uwepo wenu humu imekuwa ni faraja kubwa sana kwangu kwani mmekuwa watu wa kunipa furaha na kunifariji mara kwa mara,.
Leo nimeona ni bora nisiwaache mkafa bure bila ya kulitambua hili,
Ndugu yangu KUNA WAKATI KUKATA TAMAA HUWA NI CHAGUO SAHIHI SANA.
Sio kila wakati mapambano huwa na faida mbele yake,.
Japo ni kweli kuna wakati KUENDELEA KUPAMBANA HUWA NI CHAGUO SAHIHI
Ushauri wangu kwako mpambanaji,.
Usipende kutumia mda wako mwingi kwenye mapambano ya hovyo hovyo,.
Unauza karanga ya faida 850 tsh alafu unajipa moyo eti MANJI alitokea kwenye kuuza karanga ndugu acha mara moja utakuja kufa na kuzeeka masikini wa hivyo hivyo,.
Unauza mama ntilie mwaka wa kumi huu sasa na hauoni faida yake dada yangu acha acha mara moja kajaribu hata na uchangudoa unaweza ukakutoa,
Kaka unauza magazeti mwaka wa tano huu sasa hakuna unachokipata, mzee acha mara moja utakuja kuzeeka na umaskini uliokithiri,
Baba unavua samaki mwaka wa 15 sasa hamna mabadiliko katika maisha yako mzee wangu katafute kazi kajaribu hata kutafuta shamba lima mbaazi angalia mwenendo na huko ukiona hauelewi achilia kwa mbali pia,.
WAKATI MWINGINE KUKATA TAMAA INAWEZA KUWA NJIA SAHIHI SANA KWAKO.