Kweli SUA alikuwa katikati ya MATIP NA DJIK, alikuwa mgongoni kwa MATIP .. DJIK ndio alikuwa anamuona vzr Suarez akimoove.Ni kweli ww km ni mwanasoka halisi goli la kwanza lawama ni kwa vd!! Yeyr ndio alipaswa kumark pale, mtu kakimbia toka huko kaja kufunga goli free tena ndani ya box ni kosa kwake van dijk.. Sijui wengine wanaonaje.
Burudani ya Messi ni kupita msitu na kuhama na kijiji,. huwezi kufanya hayo bila uwezo wa chenga.mkuu mesii hana mpira wowote wa burudani mpira wa burudani alikua ronadinho tu kina mess na ronaldo matokeo zaidi
Messi anabebwa na muundo wa Barca akienda kwingine hoi kama chama lake la Argentina.Yule ndiye Lionel andres messi ..binaadamu aliyeletwa duniani kwaajili ya kufanya shughuli moja tu pekee ...
Kuwafundisha wachezaji wa mpira wa miguu kucheza mpira ..na kutu burudisha wapenzi wa mpira wa miguu
Halafu huyo uliye mtaja kuwa ni beki bora duniani Hiyo tuzo amepewa lini !?,...au ndio mmeshaanza misifa mashabiki wa epl kama ilivyo desturi yenu
Utakufa kwa wivu wee mzee ....Messi anabebwa na muundo wa Barca akienda kwingine hoi kama chama lake la Argentina.
Yale ni maneno ya kuburudisha tu watu mkuu.. ukiyachukulia maanani wewe ndio unakuwa tatizo.Ila Simba wanasema wanaweza kuwafunga barcelona. Ujue wakati mwingine mtu mpumbavu akiongea jambo kaa kimya tu Mungu atamwonesha ukweli na haki kwa wakati unaofaa
Ni wachezaji wangapi wameenda Barca wakashindwa kubebwa na mfumo mkuu.?Messi anabebwa na muundo wa Barca akienda kwingine hoi kama chama lake la Argentina.
Sometimes mnatusabaishia Ban kwa makusudi[emoji23][emoji23][emoji23]Messi anabebwa na muundo wa Barca akienda kwingine hoi kama chama lake la Argentina.
cha ajabu huyo Messi hajawahi kuisaidia timu yake ya Taifa kubeba kombe lolote
Write a reply......cha ajabu huyo Messi hajawahi kuisaidia timu yake ya Taifa kubeba kombe lolote
achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na RashfordWrite a reply......View attachment 1086366
NdioShughuli moja pekee na kwenye timu moja pekee[emoji23][emoji23]
Sasa nashangaa hawa watu wanataka kupinga kuwa van dijk hakuzingua pale... Ile angekuwa mustafi wangeimba sababu mustafa yeye ni mabokolikoloo, hana nzuri!!Kweli SUA alikuwa katikati ya MATIP NA DJIK, alikuwa mgongoni kwa MATIP .. DJIK ndio alikuwa anamuona vzr Suarez akimoove.
Hahaha ..umemaliza yote mkuu ..Muulize hivi kuna mkazi wa Masaki ya ostabay anaependa na kutaka kuhamia tandale au manzese
POIN OF CORRECTION GOAL LA TATU ALLISON ANGEMUITA KALIUS NA MIGNOLET WABEBANE WAUFIKIE MPIRAKwanza kabida mm nishabiki kindaki wa Liverpool jana tumepigwa vitatu na Fc Barcelona. Ila kama shabiki nilitafuta wakumlaumu kwa kipigo kile amekosekana. Nilitaka niseme labda refa ila hapana, sijui kocha uko nako hapana, wachezaji cjui wangefanya nn zaidi ili kuzuia zile goli? Kwakweli ata wachezaji wenyewe wasingeweza. Lile goli la kwanza sijui Surez alitokea wapi mungu wangu, goli la pili beki bora duniani alibidi ashike kiuno maana akujua Messi alikotokea, goli la tatu mungu wangu hii inaitwa an attempt to kill hivi kipa angefanya nn pale kuokoa goli? Messi mungu anakuona.
Ilo utajua ww na wazazi wakoShughuli moja pekee na kwenye timu moja pekee[emoji23][emoji23]
Neymar anaburudisha na kutafuta matokeo ni Sawa na ronaldinho mmoja na nusumkuu mesii hana mpira wowote wa burudani mpira wa burudani alikua ronadinho tu kina mess na ronaldo matokeo zaidi
Ilo utajua ww na wazazi wako
Kwa akili yako messi atoke barca aende wapi kwa mfano!!?....unatoka timu nyingine ndo unaenda barca!!Shughuli moja pekee na kwenye timu moja pekee[emoji23][emoji23]