Kuna wakati magoli yanafungwa wewe kama shabiki watimu unakosa umlaumu nani.

Kuna wakati magoli yanafungwa wewe kama shabiki watimu unakosa umlaumu nani.

Ni kweli ww km ni mwanasoka halisi goli la kwanza lawama ni kwa vd!! Yeyr ndio alipaswa kumark pale, mtu kakimbia toka huko kaja kufunga goli free tena ndani ya box ni kosa kwake van dijk.. Sijui wengine wanaonaje.
Kweli SUA alikuwa katikati ya MATIP NA DJIK, alikuwa mgongoni kwa MATIP .. DJIK ndio alikuwa anamuona vzr Suarez akimoove.
 
mkuu mesii hana mpira wowote wa burudani mpira wa burudani alikua ronadinho tu kina mess na ronaldo matokeo zaidi
Burudani ya Messi ni kupita msitu na kuhama na kijiji,. huwezi kufanya hayo bila uwezo wa chenga.
Dinho namsaluti ila Leo nae yumo mkuu
 
Yule ndiye Lionel andres messi ..binaadamu aliyeletwa duniani kwaajili ya kufanya shughuli moja tu pekee ...

Kuwafundisha wachezaji wa mpira wa miguu kucheza mpira ..na kutu burudisha wapenzi wa mpira wa miguu

Halafu huyo uliye mtaja kuwa ni beki bora duniani Hiyo tuzo amepewa lini !?,...au ndio mmeshaanza misifa mashabiki wa epl kama ilivyo desturi yenu
Messi anabebwa na muundo wa Barca akienda kwingine hoi kama chama lake la Argentina.
 
Ila Simba wanasema wanaweza kuwafunga barcelona. Ujue wakati mwingine mtu mpumbavu akiongea jambo kaa kimya tu Mungu atamwonesha ukweli na haki kwa wakati unaofaa
Yale ni maneno ya kuburudisha tu watu mkuu.. ukiyachukulia maanani wewe ndio unakuwa tatizo.
 
cha ajabu huyo Messi hajawahi kuisaidia timu yake ya Taifa kubeba kombe lolote
 
cha ajabu huyo Messi hajawahi kuisaidia timu yake ya Taifa kubeba kombe lolote
Write a reply......
download%20(2).jpeg
 
Kwanza kabida mm nishabiki kindaki wa Liverpool jana tumepigwa vitatu na Fc Barcelona. Ila kama shabiki nilitafuta wakumlaumu kwa kipigo kile amekosekana. Nilitaka niseme labda refa ila hapana, sijui kocha uko nako hapana, wachezaji cjui wangefanya nn zaidi ili kuzuia zile goli? Kwakweli ata wachezaji wenyewe wasingeweza. Lile goli la kwanza sijui Surez alitokea wapi mungu wangu, goli la pili beki bora duniani alibidi ashike kiuno maana akujua Messi alikotokea, goli la tatu mungu wangu hii inaitwa an attempt to kill hivi kipa angefanya nn pale kuokoa goli? Messi mungu anakuona.
POIN OF CORRECTION GOAL LA TATU ALLISON ANGEMUITA KALIUS NA MIGNOLET WABEBANE WAUFIKIE MPIRA
 
Back
Top Bottom