Siku Mess akiondoka Barca na heshma yake anaicha barca. Yule ameumbwa kwa ajili ya Barca tu. Waulize wa Argentina watakujibu.Kwa akili yako messi atoke barca aende wapi kwa mfano!!?....unatoka timu nyingine ndo unaenda barca!!
Kwa akili yako messi atoke barca aende wapi kwa mfano!!?....unatoka timu nyingine ndo unaenda barca!!
Siku Mess akiondoka Barca na heshma yake anaicha barca. Yule ameumbwa kwa ajili ya Barca tu. Waulize wa Argentina watakujibu.
Kuliko kufa kwa penzi endekezi....Utakufa kwa wivu wee mzee ....
Wanaenda wakiwa vijeba, yeye alienda kinda na muoga wa kuhama kama mzee wa Juve anavyofunguka.Ni wachezaji wangapi wameenda Barca wakashindwa kubebwa na mfumo mkuu.?
Sema ungependa kumuona timu au ligi tofauti basi.
Watu kama kina Mengi ungekaa karibu nae wakati wa uhai wake lisingekuwa jambo LA ajabu ungemsikia akisema nitakuwa tajiri wa dunia siku moja au Afrika.Sijui niendelee kukuelewesha nahisi utashindwa kunielewa,kama uwezo wako wa kuelewa ni mkubwa mpaka hapo utakuwa umenielewaIla Simba wanasema wanaweza kuwafunga barcelona. Ujue wakati mwingine mtu mpumbavu akiongea jambo kaa kimya tu Mungu atamwonesha ukweli na haki kwa wakati unaofaa
Pole,goli la 1 kosa la beki,Kwanza kabida mm nishabiki kindaki wa Liverpool jana tumepigwa vitatu na Fc Barcelona. Ila kama shabiki nilitafuta wakumlaumu kwa kipigo kile amekosekana. Nilitaka niseme labda refa ila hapana, sijui kocha uko nako hapana, wachezaji cjui wangefanya nn zaidi ili kuzuia zile goli? Kwakweli ata wachezaji wenyewe wasingeweza. Lile goli la kwanza sijui Surez alitokea wapi mungu wangu, goli la pili beki bora duniani alibidi ashike kiuno maana akujua Messi alikotokea, goli la tatu mungu wangu hii inaitwa an attempt to kill hivi kipa angefanya nn pale kuokoa goli? Messi mungu anakuona.
Mm ni shabiki wa Messi na hakuna mpuuzi yeyote wa kumlinganisha na nae ila kwenye suala la kutoa burudani,ladha,uda bwidambwi mtu asijutie kiingilio chake bc hakuna km gaucho kiukweli tuacheni ushabiki maandazi yle mtu hatari Messi na Ronaldo ni hatari wakiliona goli chenga zao na maarifa ya kawaida tu hata waungane hawatii mguu kwa dinho!mkuu chenga za kawaida zile wale uhatari wao kwenye magoli tu kuburudisha mwachie ronadinho
mkuu mesii hana mpira wowote wa burudani mpira wa burudani alikua ronadinho tu kina mess na ronaldo matokeo zaidi
Pole,goli la 1 kosa la beki,
Goli la 2 defence system yote ilikufa (hapa sjui sabab ya uchovu) la 3 uzembe wa kipa,angalia position aliyokaa kbla freekick haijapigwa.
Kwa uchambuz mzur angalia skysports
Itakuwa una matatizo ...jinsi messi anavyo wapiga watu vyenga halafu unasema hana burudani ...like seriously !!!
Black Panther
Acha ujinga , mmekuwa mkiongea hizi pumba zenu tangu wakina Henry , Deco , Ronaldinho , Xavi na Iniesta wapo .Watu walikuwa wanasema hawa viungo wakiondoka basi na Messi anaisha , swali ni je mbona bado yeye ndio anaibeba timu sasa ? Badala ya kupotea ? , kama hamjui mpira mkae kimyaMessi anabebwa na muundo wa Barca akienda kwingine hoi kama chama lake la Argentina.
Duh ! Mashabiki wa manyua , eti rashford , sasa huyu mpuuzi wenu rashford naye mnamuweka kundi la wachezaji kabisa ? ,achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na Rashford
Kwakweli umesema ukweli gaucho ile ni bidhaa adimu madukani sema ndo hvyo watu wanajitoa ufahamu.Mm ni shabiki wa Messi na hakuna mpuuzi yeyote wa kumlinganisha na nae ila kwenye suala la kutoa burudani,ladha,uda bwidambwi mtu asijutie kiingilio chake bc hakuna km gaucho kiukweli tuacheni ushabiki maandazi yle mtu hatari Messi na Ronaldo ni hatari wakiliona goli chenga zao na maarifa ya kawaida tu hata waungane hawatii mguu kwa dinho!
Magoli yote ni ya kulaumu mabeki, ispokuwa goli la free kick, hilo goal kusave ni imposible, mengine yote ni kwa sababu ya defender mbovu