Kuna wakati magoli yanafungwa wewe kama shabiki watimu unakosa umlaumu nani.

Kuna wakati magoli yanafungwa wewe kama shabiki watimu unakosa umlaumu nani.

Wale jamaa na maajabu yote inashangaza wala hawamkubali huyu jamaa.


Wanakwambia hawaoni faida yake kwao.
Siku Mess akiondoka Barca na heshma yake anaicha barca. Yule ameumbwa kwa ajili ya Barca tu. Waulize wa Argentina watakujibu.
 
Ni wachezaji wangapi wameenda Barca wakashindwa kubebwa na mfumo mkuu.?
Sema ungependa kumuona timu au ligi tofauti basi.
Wanaenda wakiwa vijeba, yeye alienda kinda na muoga wa kuhama kama mzee wa Juve anavyofunguka.
 
Mnaosema messi ni bora sababu yupo barca hawezi kua bora nje ya barca nendeni na nyie barca mkawe bora kama messi
 
Ila Simba wanasema wanaweza kuwafunga barcelona. Ujue wakati mwingine mtu mpumbavu akiongea jambo kaa kimya tu Mungu atamwonesha ukweli na haki kwa wakati unaofaa
Watu kama kina Mengi ungekaa karibu nae wakati wa uhai wake lisingekuwa jambo LA ajabu ungemsikia akisema nitakuwa tajiri wa dunia siku moja au Afrika.Sijui niendelee kukuelewesha nahisi utashindwa kunielewa,kama uwezo wako wa kuelewa ni mkubwa mpaka hapo utakuwa umenielewa
 
Kwanza kabida mm nishabiki kindaki wa Liverpool jana tumepigwa vitatu na Fc Barcelona. Ila kama shabiki nilitafuta wakumlaumu kwa kipigo kile amekosekana. Nilitaka niseme labda refa ila hapana, sijui kocha uko nako hapana, wachezaji cjui wangefanya nn zaidi ili kuzuia zile goli? Kwakweli ata wachezaji wenyewe wasingeweza. Lile goli la kwanza sijui Surez alitokea wapi mungu wangu, goli la pili beki bora duniani alibidi ashike kiuno maana akujua Messi alikotokea, goli la tatu mungu wangu hii inaitwa an attempt to kill hivi kipa angefanya nn pale kuokoa goli? Messi mungu anakuona.
Pole,goli la 1 kosa la beki,
Goli la 2 defence system yote ilikufa (hapa sjui sabab ya uchovu) la 3 uzembe wa kipa,angalia position aliyokaa kbla freekick haijapigwa.
Kwa uchambuz mzur angalia skysports
 
mkuu chenga za kawaida zile wale uhatari wao kwenye magoli tu kuburudisha mwachie ronadinho
Mm ni shabiki wa Messi na hakuna mpuuzi yeyote wa kumlinganisha na nae ila kwenye suala la kutoa burudani,ladha,uda bwidambwi mtu asijutie kiingilio chake bc hakuna km gaucho kiukweli tuacheni ushabiki maandazi yle mtu hatari Messi na Ronaldo ni hatari wakiliona goli chenga zao na maarifa ya kawaida tu hata waungane hawatii mguu kwa dinho!
 
Magoli yote ni ya kulaumu mabeki, ispokuwa goli la free kick, hilo goal kusave ni imposible, mengine yote ni kwa sababu ya defender mbovu
 
mkuu mesii hana mpira wowote wa burudani mpira wa burudani alikua ronadinho tu kina mess na ronaldo matokeo zaidi

Unachekesha kijana 😀Kama unazungumzia kupiga kanzu na kucheza wowowo hapo sawa...lakini kwa Messi/complete player hakuacha kitu ktk soka, burudani zote katupatia + mafanikio..na usifikiri tuliomo humu hatukumshuhudia au kumuona Gaucho, tunamjuwa vizuri zaidi yako...

Alafu haingii akilini kumfananisha mchezaji ambae amedumu miaka mingi zaidi ya 11 katika ubora wake na kuiletea mafanikio makubwa timu yake kitu ambacho hukipati kwa mchezaji yeyote yule...halafu umfananishe na gaucho ambae amedumu 3 or 4 years!! Are you serious?? Hata katika top 10 ya greatest players of all time hayumo!! Sawa gaucho alikuwa mzuri tu, ila hakuwa consistent, life span yake ilikuwa fupi sana na aliendekeza wanawake...hivyo ni ngumu kumfananisha na Kiumbe Messi.


Messi kaipa mafanikio tim yake kwa miaka mingi

Barcelona


GAUCHO👇


Barcelona

Ukitaka zaidi omba msaada kwa Mr google...hapo sijaweka vyote...
 
Pole,goli la 1 kosa la beki,
Goli la 2 defence system yote ilikufa (hapa sjui sabab ya uchovu) la 3 uzembe wa kipa,angalia position aliyokaa kbla freekick haijapigwa.
Kwa uchambuz mzur angalia skysports

images



11066642-3x2-940x627.jpg

Hlo goal still mi siwez kumlaum kipa, hyo ilikuwa ni imposible angle, magoli mawili ya mwanzo ni uzembe wa beki,
 
Itakuwa una matatizo ...jinsi messi anavyo wapiga watu vyenga halafu unasema hana burudani ...like seriously !!!

Black Panther

Mkuu, hawa vijana wanateseka sana kwa Messi kipigo alichowapa hawatosahau...na bado anfield wataisoma namba mammae 🤣🤣🤣
 
Messi anabebwa na muundo wa Barca akienda kwingine hoi kama chama lake la Argentina.
Acha ujinga , mmekuwa mkiongea hizi pumba zenu tangu wakina Henry , Deco , Ronaldinho , Xavi na Iniesta wapo .Watu walikuwa wanasema hawa viungo wakiondoka basi na Messi anaisha , swali ni je mbona bado yeye ndio anaibeba timu sasa ? Badala ya kupotea ? , kama hamjui mpira mkae kimya
 
achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na Rashford
Duh ! Mashabiki wa manyua , eti rashford , sasa huyu mpuuzi wenu rashford naye mnamuweka kundi la wachezaji kabisa ? ,
 
Mm ni shabiki wa Messi na hakuna mpuuzi yeyote wa kumlinganisha na nae ila kwenye suala la kutoa burudani,ladha,uda bwidambwi mtu asijutie kiingilio chake bc hakuna km gaucho kiukweli tuacheni ushabiki maandazi yle mtu hatari Messi na Ronaldo ni hatari wakiliona goli chenga zao na maarifa ya kawaida tu hata waungane hawatii mguu kwa dinho!
Kwakweli umesema ukweli gaucho ile ni bidhaa adimu madukani sema ndo hvyo watu wanajitoa ufahamu.
 
Magoli yote ni ya kulaumu mabeki, ispokuwa goli la free kick, hilo goal kusave ni imposible, mengine yote ni kwa sababu ya defender mbovu

Hakuna kitu kinamtibua King kama ile kauli ya "hajawahi kutufunga"

Acheni Messi aitwe Messi...hata kama watakusanywa mabeki wa ligi 5 bora wapewe jukumu la kumkaba messi hawataweza...ndivyo Mungu alivomjaalia kiumbe wake.
 
Back
Top Bottom