jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Kama ccm bila polisiMesi hana kitu nje ya barcelona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ccm bila polisiMesi hana kitu nje ya barcelona
Kuna jambo haukujua tu:Laumu Klopp.
Anaumia Keita unaingiza Henderson. Kwanini asiingie Firmino/Sturidge/Origi ili Winaldium (sinauhakika na Spelling) ashuke sehemu ya Keita?
Klopp alivurugwa kiakili, alitarajia kuona barca wakipiga pasi kama kawaida, sasa EVV akaua hiyo mipango ya kupiga pasi tunataka magoli, ndiyo maana Vidal alikuwa ndani kuboresha ulinzi na alafu zile njemba mbili kupika sumu tu kazi yao ilikuwa, Busquet na RakiticKwangu mimi jana game iliisha baada ya nabil keita kuumia!! Nadhani pale pale angemuingiza bobby firmino kisha wijnaldum ashuke chini hii ingesaidia kidogo lakini sub hii alichelewa kuifanya, akamuingiza henderson ambae kwenye game hawezi kukupa kile nabil keita anaweza kukupa!! Hapa tu liver ikajifia.
Acha hisia mzee, Rashford hawezi kuwa sawa na Messi hata akae wapi na yeye awe wapi.achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na Rashford
Del Bosque mwenyewe juzi amekiri kuwa aliwahi mshawishi andunje kuchezea timu ya taifa ya Spain.Siku Mess akiondoka Barca na heshma yake anaicha barca. Yule ameumbwa kwa ajili ya Barca tu. Waulize wa Argentina watakujibu.
Anasikilizwa kama mungu mtu. Wameuzwa watu pale kisa andunje anataka makombeWale jamaa na maajabu yote inashangaza wala hawamkubali huyu jamaa.
Wanakwambia hawaoni faida yake kwao.
Mzee mbona una hasira sana.Mnaosema messi ni bora sababu yupo barca hawezi kua bora nje ya barca nendeni na nyie barca mkawe bora kama messi
Na kweli, angeoza midfielder magoli yangepungua paleKocha alitakiwa kumtoa Salah dakika ya kwanza tu ya mchezo. Wachache watanielewa
Yaaani pita kwa mangi chukua soda kreti tano, nitalipa niko job mzee.Mm ni shabiki wa Messi na hakuna mpuuzi yeyote wa kumlinganisha na nae ila kwenye suala la kutoa burudani,ladha,uda bwidambwi mtu asijutie kiingilio chake bc hakuna km gaucho kiukweli tuacheni ushabiki maandazi yle mtu hatari Messi na Ronaldo ni hatari wakiliona goli chenga zao na maarifa ya kawaida tu hata waungane hawatii mguu kwa dinho!
Lakini watu ndiyo walisema hii ndiyo defence bira zaidi. Klopp amelaumu sana defence, nadhani next week watachanganyikiwa sana.Magoli yote ni ya kulaumu mabeki, ispokuwa goli la free kick, hilo goal kusave ni imposible, mengine yote ni kwa sababu ya defender mbovu
Jamani mbona mnatumia nguvu kubishana na watu.Messi kazidiwa na RashFord kila kitu.Messi hana lolote lile analoweza zaidi ya kupiga viji free kick na vigoli vya kubebwa bebwa.Jana Arsenal kashinda 3...hawana pa kijishikiza.mana pa kujishikiza palikuwa LiverPool wamelambwa.wakasubiri wapate pa kusemewa kule Juve nako kumeliwa UEFA sasa mnataka waende wapi?Acha hisia mzee, Rashford hawezi kuwa sawa na Messi hata akae wapi na yeye awe wapi.
Kuna maswali jiulize, hivi zile free kick zinapigwa na miguu ya watu wangapi? Mfano kwenye ile siku na Liverpool, Je Rashford hakuwahi kupata free kick?
Unajua messi amepiga free kick ngapi msimu huu na zote magoli?
Wanaojua mpira na kumfundisha na kukutana nae ndiyo maana wanakwambia unstoppable huyu andunje.
hizo zote zote mbwembwe tu mataji hata iker casilas ana mataji kibao.sema nini GAUCHO life span Lake LA soka kweli hakututendea haki hata kidg kwa maajabu aliyokuwa anafanya tuliinjoi Mpira wakati wake kuliko kawaida sio kufananisha na hawa akina mess wana chenga za aina Mbili tu uwanjaniUnachekesha kijana 😀Kama unazungumzia kupiga kanzu na kucheza wowowo hapo sawa...lakini kwa Messi/complete player hakuacha kitu ktk soka, burudani zote katupatia + mafanikio..na usifikiri tuliomo humu hatukumshuhudia au kumuona Gaucho, tunamjuwa vizuri zaidi yako...
Alafu haingii akilini kumfananisha mchezaji ambae amedumu miaka mingi zaidi ya 11 katika ubora wake na kuiletea mafanikio makubwa timu yake kitu ambacho hukipati kwa mchezaji yeyote yule...halafu umfananishe na gaucho ambae amedumu 3 or 4 years!! Are you serious?? Hata katika top 10 ya greatest players of all time hayumo!! Sawa gaucho alikuwa mzuri tu, ila hakuwa consistent, life span yake ilikuwa fupi sana na aliendekeza wanawake...hivyo ni ngumu kumfananisha na Kiumbe Messi.
Messi kaipa mafanikio tim yake kwa miaka mingi
Barcelona
- La Liga: 2004–05, 2005–06, 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16, 2017–18, 2018–19
- Copa del Rey: 2008–09, 2011–12, 2014–15, 2015–16, 2016–17, 2017–18
- Supercopa de España: 2006, 2009, 2010, 2011, 2013, 2016, 2018
- UEFA Champions League: 2005–06, 2008–09, 2010–11, 2014–15
- UEFA Super Cup: 2009, 2011, 2015
- FIFA Club World Cup: 2009, 2011, 2015
- FIFA Ballon d'Or/Ballon d'Or: 2009, 2010, 2011, 2012, 2015[542][543]
- European Golden Shoe: 2010, 2012, 2013, 2017, 2018[162][243][544]
- Onze d'Or: 2009, 2010–11, 2011–12, 2017–18[551][552]
- La Liga Best Player: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2012–13, 2014–15, 2017–18[554][555][556][557]
- La Liga Best Forward: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2012–13, 2014–15, 2015–16[554][555][556][558]
GAUCHO[emoji116]
Barcelona
Ukitaka zaidi omba msaada kwa Mr google...hapo sijaweka vyote...
mtaalamu yule hapendi ligi anasifia kuondoa mgongano tu kwanza huenda alitamka hayo maneno wakati hayuko kwenye peakView attachment 1086982
Haya ni maneno kutoka kwenye kinywa chake sasa wewe mbongo utatuambia nini sisi..kama lugha inakupiga chenga niambie nikutransletie mkuu...
hearly
Ulimakafu
Manofu
mtaalamu yule hapendi ligi anasifia kuondoa mgongano tu kwanza huenda alitamka hayo maneno wakati hayuko kwenye peak
ulikuwa humjui akiwa karibu na goli alikua hacheki kila aina ya magoli katia wavuni mpka magoli ya kina fall pupa waulize Chelsea kiliwtokea nini champions ligue alikata mauno kabla ya kutupiaAnavyote huyo, mpira bila magoli hakuna kitu. Sasa mbona Liverpool wana huzuni na wao wameongoza ball possession?
Jiulize swali
ulikuwa humjui akiwa karibu na goli alikua hacheki kila aina ya magoli katia wavuni mpka magoli ya kina fall pupa waulize Chelsea kiliwtokea nini champions ligue alikata mauno kabla ya kutupia
Mm ni shabiki wa Messi na hakuna mpuuzi yeyote wa kumlinganisha na nae ila kwenye suala la kutoa burudani,ladha,uda bwidambwi mtu asijutie kiingilio chake bc hakuna km gaucho kiukweli tuacheni ushabiki maandazi yle mtu hatari Messi na Ronaldo ni hatari wakiliona goli chenga zao na maarifa ya kawaida tu hata waungane hawatii mguu kwa dinho!
hizo zote zote mbwembwe tu mataji hata iker casilas ana mataji kibao.sema nini GAUCHO life span Lake LA soka kweli hakututendea haki hata kidg kwa maajabu aliyokuwa anafanya tuliinjoi Mpira wakati wake kuliko kawaida sio kufananisha na hawa akina mess wana chenga za aina Mbili tu uwanjani
Messi ni sawa na wachezaji nane wa manyua, haya kanywe paracetamol ulale.Cha ajabu zaidi ya vyote kapiga Liverpool mbili tena na vijitimu vyenye ngebe nyiingi na mashabiki wake uchwara.Makombe Makubwa tumwachie Ronaldo na wengine huyo Bwana aachiwe anachoweza kufanya.Ni kweli Messi hawei kushindana na Rashford..Rashdord ni fundi eti.Si unaona UEFA alichofanya...Messi anabebwa mno na Marefa na Barca saaana.Kidogo tu Messi Messi ...Hata Samatta kamzidi Messi sema tu yupo Genk...
Usiseme Lionel Andres messi tu, malizia CuccitinYule ndiye Lionel andres messi ..binaadamu aliyeletwa duniani kwaajili ya kufanya shughuli moja tu pekee ...
Kuwafundisha wachezaji wa mpira wa miguu kucheza mpira ..na kutu burudisha wapenzi wa mpira wa miguu
Halafu huyo uliye mtaja kuwa ni beki bora duniani Hiyo tuzo amepewa lini !?,...au ndio mmeshaanza misifa mashabiki wa epl kama ilivyo desturi yenu
Hahaha Mkuu usipate moto...kuna watu humu wanachuki kweli kweli na Kiumbe cha Mungu kile ndio maana naamua kuunguna nao kupunguza machungu yao.Katoto ka watu kalikuwa kagonjwa ka moyo..Barca wakakasaidia sasa kuna ubaya gani kukaa Barca milele.OOh akitoka sijui akienda wapi hana kitu...Kaandikiwa hivyo tayari na itakuwa hivyo.Alipo atafanya anachoweza.Kinachowauma watu ni kuwa Team zao zimepigwa zooote sasa wamebaki na Kichaka kimoja cha Liver ambacho juzi kimeaanza kuwaka moto..Je watajificha waaaapi?Soma hiyo...watahamia Ajax...na wakikosa kabisa utasikia Barcha kapewa tu lile kombe.Messi ni sawa na wachezaji nane wa manyua, haya kanywe paracetamol ulale.