He might exists but not in such a way human being think it's far from how we interpret but may be he might exists no one knows.Kuna wakati nataka kuamini Mungu hayupo lakini kuna maswali ambayo najiulizaga mpaka leo sijawahi kupata majibu yake
1 Sayansi inasema ulimwengu ulianza (Big Bang) Kabla ya hapo hakukuwa na dunia, jua wala muda kama tunavyoujua. Swali ni hili kama ulimwengu ulianza, nani au nini kilianzisha? Kitu hakiwezi kujiumba chenyewe tu
2 Wanasayansi wanasema Dunia ipo umbali sahihi kutoka kwa jua. Hewa tunayovuta iko kwa kiwango sahihi. Nguvu ya uvutano iko sawa. Vitu hivi vingebadilika kidogo tu, maisha yasingekuwepo. Je haya yote yalijipangaje ?
3 wana sayansi wanasema Ndani ya mwili wa binadamu kuna DNA. Hii ni kama kitabu chenye maelekezo ya jinsi mwili unavyotengenezwa na kufanya kazi. Kila sehemu ya mwili inaelekezwa na taarifa hizo taarifa hupatikana kutoka kwa akili. Je taarifa zote hizi zilitokea tu bila kupangiliwa au Na kama ndio ilikuwa vipi
Utakapoishia kwenye huyo nani wa mwisho ndio mungu mwenyewe tunayemzunguzia wanadamuKwa maswali yako hayo itabidi ujiulize pia ikiwa chanzo cha big bang ni Mungu, huyo Mungu wa kutokeza vyote hivo alidizainiwa na nani? Na huyo nani ni nani na nani ni nani?
Kwa kifupi ishi wakati uliopo ili kuepukana na vitu vya kijinga vya kiimani
Kama anaweza kuwepo pasipo chanzo, basi hata sisi pamoja ulimwengu tunaweza kuwepo bila chanzo.Utakapoishia kwenye huyo nani wa mwisho ndio mungu mwenyewe tunayemzunguzia wanadamu
Wanasayansi na sayansi kubwa wanatambua Mungu ni nini ....every thing is software (energy formation)Kuna wakati nataka kuamini Mungu hayupo lakini kuna maswali ambayo najiulizaga mpaka leo sijawahi kupata majibu yake