Kuna wakati ukiomba msaada humu, upati msadaa sahihi

Kwamba mwenye kukusaidia ili upate kazi a.mekutongoza na ukamtosa, aisee.
Ni rushwa, kila mla rushwa anakula kwa urefu wa kamba yakeπŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ulichokutana nacho ni somo kubwa kuhusu kuomba msaada mtandaoni. Kuna watu wenye nia njema, lakini pia wapo wanaotumia shida za wengine kama fursa ya kuwadanganya au kuwanyonya. Cha muhimu ni usalama kwanzaβ€”usiweke imani kwa mtu kwa sababu tu ameahidi msaada. Hakikisha taarifa, kazi au huduma unayopewa inathibitishwa kabla ya kwenda popote. Na kuhusu changamoto zako, usikate tamaa; hata kuwa dalali wa elfu kumi ni bora kuliko kukaa bila kutafuta njia ya halali. Pole kwa yote uliyopitia, na Mungu akufungulie mlango salama na wenye heshima. 🀝🏽
 
Mimi nilishapigwa kibuti kitambo. Huenda haya mambo yake yote alifanya na watu wawili; Hokololo na Mshana Jr. Mimi hakunishirikisha.
 
Nakuibia siri ya kambi ukajitafakari, tunaangaliaga sifa hizi 4, Sura(reception), shape(uwani), tabia(makuzi), akili... Jitahidi usikose japo viwili basi tabia na akili. Ukikosa vyote hua kinaumana kutafta mchawi, Wala hujarogwa.
 
Mimi nilishapigwa kibuti kitambo. Huenda haya mambo yake yote alifanya na watu wawili; Hokololo na Mshana Jr. Mimi hakunishirikisha.
Mshana Jr ndio alinipa nitafute chuma chakavu akauze anipe hela hata kama ni za reli sio yeye pekee kuna huyu sasa hujui kazi inahusika nanini nakwanini unaifanya yaani we acha tu kazi ipo nikakupata wewe ila nawewe sikuelewi
 
ok.πŸ’
 
Mm ndio yule mganga wa Muheza, nadhani ulikosea masharti, tafadhali rudi tena ili tuweke mambo sawa
 
Hivi kila mtu akitaka msaada JF patakalika kweli?
 
 
Udalali ni kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…