Hawa makolo wana ushabiki wa kukariri hawaoni litimu lao mwaka huu ni libovu wao wanataka licheze kama mwaka jana.Basi kwa ubora wenu endeleeni kushinda mechi na sio kulalamika nyie makolo
Yatakufa mamtu mwaka huu kwa ushabiki wa mazoea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa makolo wana ushabiki wa kukariri hawaoni litimu lao mwaka huu ni libovu wao wanataka licheze kama mwaka jana.Basi kwa ubora wenu endeleeni kushinda mechi na sio kulalamika nyie makolo
Ni swala la muda tu ubingwa mtausikia tayari uko Msimbazi.Mnaanza kubweka Kama mbwa, iyo si ndiyo ilikuwa michezo yenu, wakati mnafanya mbona mlikuwa kimya kipindi kile kina makonda wanatoa milioni 20? Leo hii kumbe mnaona ni jambo baya,,mmerukwa na akili au mnaweweseka, na nyie si muendelee kutoa Kama mlivyokuwaga mnatoa au bosi amesusa bando limekata!