Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jun 22, 2026 #1 Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi? Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi.
Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi? Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi.
M Moose Bull JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 516 Reaction score 1,259 Jun 22, 2026 #2 Yoda said: Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi? Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi. Click to expand... Mmojawao ni Mimi. Yaani nakuambia nilitahiriwa bila ganzi halafu kisu cha mtahiri kilikuwa butu. Imagine! "Ninaucheka wakati uliopita, nikiufurahia ule ujao...🎶🎵.
Yoda said: Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi? Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi. Click to expand... Mmojawao ni Mimi. Yaani nakuambia nilitahiriwa bila ganzi halafu kisu cha mtahiri kilikuwa butu. Imagine! "Ninaucheka wakati uliopita, nikiufurahia ule ujao...🎶🎵.
Kubwjing JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 3,289 Reaction score 5,964 Jun 22, 2026 #3 Yoda said: Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi? Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi. Click to expand... Wapo sana
Yoda said: Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi? Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi. Click to expand... Wapo sana
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,617 Reaction score 16,418 Jun 22, 2026 #4 Sio Masai tu,hapo nyuma kidogo tulikua tunatahiriwa na ngaliba tena Bila ganzi yani kavukavu kwaiyo maumivu tunayajua vizuri tu
Sio Masai tu,hapo nyuma kidogo tulikua tunatahiriwa na ngaliba tena Bila ganzi yani kavukavu kwaiyo maumivu tunayajua vizuri tu
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,051 Reaction score 51,217 Jun 22, 2026 #5 Ndio mkuu.