Kuna wana CCM hawamtakii mema mhe rais kikwete

Kuna wana CCM hawamtakii mema mhe rais kikwete

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,806
Reaction score
4,370
Kwa jins mhe rais alivyofanya mazungumzo na kituo cha democracia tcd na wakakubaliana kuahirisha zowezi la kupiga kura ya maoni na badae mh rais akaja kubalisha mawazo gafla ya kuamua zoezi la upigaji kura ya maoni liendelee lazima kuna baadhi ya wana ccm wenzake wasiomtakia mema kabisa. Wameshindwa kweli kuona mazigira yalivyo magumu ya kuandaa upigagi kura ya maoni kweli? Wameshindwa kuona Muda ulibaki ni mdogo na hautoshi kabisa kuandaa zoezi la kufanyika kura ya maoni.kwani tukiahirisha zowezi la upigaji kura ya maoni ya katiba pendekezwa tunapungukiwa na nini?tutapoteza nini?
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie
 
tusiwalaumu wana ccm waliomshauri, kwani yeye hawezi kuchanganya na akili zake.kwa wenzie anawashauri kuchanganya na za mbayuwayu, yeye mwenyewe anashindwa kuchanganya, sijui labda anachanganya na za popo. lazima tukubali kuwa mtu wetu akili yake ndogo, tusiwatupie lawama watu wengine
 
Ukiingia deal na ccm yoyote yule hata kama ni baba yako. Kamwe usiiamini hio dili labda uamini ndoto zako kuliko deal za ccm. Hawana tofauti na mawingu hao.
 
Vijana kama mnasoma someni kwa bidii na kama mnafanya kazi fanyeni kazi kwa bidii.hii nchi inatawaliwa kwa taratibu za kisheria,ingekuwa inatawaliwa kwa jinsi kila mtu anavyotaka tusingekuwa hapa tulipo.
 
Hakuna ushauri mbaya wala maamuzi yaliyokosewa. Huo ni mkakati mahsusi wa kuhakikisha watu wachache iwezekanavyo wanaandikishwa. Ndilo tegemeo kuu la ushindi kwao. Inatakiwa idadi ndogo ya wananchi kupiga kura ili ushindi upatikane. Jifunze toka 2005 hadi 2010 nini kilichotokea.
 
Back
Top Bottom